Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 77

Category: Michezo

Msimamo, Matokeo Yote Ligi ya Uingereza, Arsenal Kuhusu Ubingwa Sahau

Posted on: April 9, 2016April 9, 2016 - Yohana Chance
Msimamo, Matokeo Yote Ligi ya Uingereza, Arsenal Kuhusu Ubingwa Sahau

Andy Caroll alifunga mabao matatu na kuiwezesha West Ham kuizuia Arsenal na hivyobasi kuvunja matumaini ya timu hiyo kushinda taji la ligi ya Uingereza. Arsenal…

Continue Reading....

Kanu Atoa Msaada Kwenye Shule ya Maji Matitu

Posted on: April 9, 2016 - Yohana Chance
Kanu Atoa Msaada Kwenye Shule ya Maji Matitu

Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Abdul Mgomi, akimkaribisha mchezaji huyo shuleni hapo. Kutoka kulia ni Mwalimu Shabani Msabaha wa shule hiyo, Mchezaji Kanu na Makamu…

Continue Reading....

Viwango vya FIFA Tanzania Yashuka

Posted on: April 9, 2016 - Yohana Chance
Viwango vya FIFA Tanzania Yashuka

Kenya imeshuka hatua 12 nayo Tanzania ikashuka hatua 5 kwenye orodha ya viwango vya ubora wa soka ya Fifa iliyotolewa leo. Kenya kwa sasa wamo…

Continue Reading....

Heineken Kukarabati Viwanja Vitatu Tanzania

Posted on: April 9, 2016 - Yohana Chance
Heineken Kukarabati Viwanja Vitatu Tanzania

Shirikishio la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeishukuru kampuni ya bia ya Heineken ambao ni wadhamini wakuu wa michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya…

Continue Reading....

TFF Yazitakia Azam na Yanga Kila Kheri

Posted on: April 9, 2016 - Yohana Chance
TFF Yazitakia Azam na Yanga Kila Kheri

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limezitakia kila la kheri klabu za Azam FC na Young Africans ambao ni wawakilishi pekee wa Tanzania katika…

Continue Reading....

TFF Waanza Kutumbuana Mjipu

Posted on: April 8, 2016 - Yohana Chance
TFF Waanza Kutumbuana Mjipu

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine amemsimamisha Juma Matandika kupisha uchunguzi kuhusu tuhuma zinazohusiana na hadhi za wachezaji (players…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari