Mbivu na Mbichi Kujulikana Leo Ligi ya Mabingwa Ulaya

Mechi za Marudiano za Robo Fainali ya michuano ya Uefa zinaendelea tena Jumanne na jumatano kwa michezo minne, ambapo jumanne kutachezwa mechi mbili. Manchester City watakuwa wenyeji wa Paris St-Germain katika dimba lao la Etihad na huko Santiago Bernabeu Real Madrid wako kwenye kibarua kigumu cha kugeuza kichapo cha 2-0 toka VfL Wolf-sburg walichokipata wiki iliyopita Siku ya Jumatano Benfica …

Askari Polisi Watanda Ofisi za Soka la Nigeria

Maafisa wa polisi wamezingira afisi za shirikisho la Soaka la Nigeria NFF katika mji mkuu wa Abuja. Maafisa wa kupambana na ghasia wakiwa wamevalia magwanda ya rasmi wamefunga afisi hiyo na hawamruhusu mtu yeyote kuingia ama hata kutoka ndani ya afisi hizo. Kauli hiyo inafwatia uamuzi wa mahakama Alhamisi iliyopita uliompa madaraka Chris Giwa. Mahakama ilitoa uamuzi kuwa Giwa alikuwa …

Droo ya Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Kufanyika Kesho

Droo ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup), inatarajiwa kufanyika kesho Jumanne saa 3 usiku moja kwa moja (live) kupitia kituo cha luninga cha AzamTwo. Hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (ASFC) itafanyika live katika kituo cha AzamTwo, ambao kupitia Azamtv ndio wadhamini wa wakuu wa michuano hiyo iliyoibua msisimiko wa mpira wa miguu …

Azam Bwana! Eti Wanaenda Tunisia Kumaliza Kazi

Michuano ya kombe la shirikisho Afrika imeendelea tena jana Jumapili kwa michezo kadhaa ,Azam fc wakicheza nyumbani Azam complex jijini Dar es salaam walifanikiwa kuwachapa Esperance ya Tunisia mabao 2-1. Esperanace ndio walikuwa wa kwanza kupata bao lao dakika ya 33 kipindi cha kwanza kupitia kwa Haithem Jouini , baadaye Azam Fc wakasawazisha goli hilo na kuongeza bao lingine kupitia …

Hakuna wa Kumzuia Leicester City Kubeba Ndoo

Ligi kuu ya soka ya Uingereza imeendelea tena jumapili kwa michezo mitatu ,Sunderland wakicheza nyumbani dhidi ya vinara wa ligi Leicester city, waliambulia kipigo cha mabao 2-0, na kuwafanya leicester city kufikisha alama 72 katika Msimamo. Liverpool waliibamiza stoke city kwa kichapo cha mabao 4-1 yaliyofungwa na wachezaji Alberto Moreno, Daniel Sturridge na Divock Origi (mabao mawili) huku bao pekee …

Yanga Yatolewa Jasho na Al Ahly, Azam Kurudisha Heshima Kesho

Timu ya Yanga SC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Al Ahly ya Misri katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kwa matokeo, Yanga italazimika kwenda kushinda ugenini ili kutimiza ndoto za kucheza hatua ya makundi ya michuano hiyo kwa mara ya pili katika historia …