Mchezaji chipukizi Marcus Rashford ametupia bao la kwanza katika mchezo wa FA kati ya Man U na West Ham na kufanikiwa kushinda kwa 2-1Uwanja wa Upton Park kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England. Goli la pili na la ushindi la mashetani wekundu lilifungwa na Marouane Fellaini, wakati la West Ham limefungwa na James Tomkins na sasa Man …
Barcelona Yachapwa, Bayern Yanusulika Kutolewa UEFA
Klabu ya Barcelona imefungwa na kutupwa nje ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 na Atletico Madrid Uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid. Atletico Madrid wanasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya awali kufungwa 2-1 Uwanja wa Camp Nou, Barcelona. Mabao yote Atletico yamefungwa na Antoine Griezmann dakika ya 36 na lingine …
FIFA Yaipa Onyo Kali Shirikisho la Soka Nchini Nigeria
Shirikisho la kandanda duniani limetishia kuipiga marufuku Nigeria kutoka kwenye mashindano yeyote ya kimataifa iwapo haitamrejesha afisini rais wa NFF Amaju Pinnick mara moja. Rais wa NFF Amaju Pinnick aliondolewa madarakani Alhamisi iliyopita baada ya mahakama moja ya Jos kuamua kuwa kiongozi wa sasa Pinnick alishindwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka wa 2014. Mahakama ilisema kuwa Chris Giwa ndiye anayefaa …
Yanga Watafuta Rekodi mpya Ligi Kuu Tanzania Bara
ligi ya kuu Tanzania imeendelea kwa michezo miwili kupigwa kwenye viwanja viwili tofauti, mjini Morogoro kulikuwa na mchezo kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC wakati jijini Dar es Salaam ulichezwa mchezo mwingine kati ya Yanga dhidi ya Mwadui FC ya Shinyanga. Macho na masikio ya wapenda soka wengi yalikuwa kwenye uwanja wa taifa ambapo mabingwa watetezi wa taji …
Kocha wa Leicester City Atoa Machozi Uwanjani
Meneja wa timu ya Leicester City Claudio Ranieri alibubujikwa na machozi baada ya kufurahishwa na vijana wake walipoitandika Sunderland kwa mabao 2-0 Ushindi huo uliongeza uwezekano wa timu hiyo kutawazwa mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza kwa mara ya kwanza katika historia ya timu hiyo, baada ya kufungua mwanya wa pointi 7. Alikuwa Jamie Vardy aliyeipa ushindi Leicester kwa kupachika …
Ligi Kuu Bongo Kuendelea Leo Yanga Kujitupa Taifa na…!
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania inatarajiwa kuendelea leo Jumatano, kwa michezo miwili ya viporo kuchezwa katika viwanja vya Manungu Turiani mkoani Morogoro na uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Young Africans wanaoshika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi, watakua wenyeji wa Mwadui FC inayokamata nafasi ya sita katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Wakata miwa wa …