Klabu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam imethibitisha kushiriki michuano ya Kombe la Nile Basin Club Championship, inayoandaliwa na Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) itakayoanza kutumia vumbi Mei 22, 2016 nchini Sudan. Mashindano ya vilabu Kombe la Nile Basin huandailiwa na CECAFA kwa kushirikisha vilabu vilivyoshika nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi …
Ratiba ya UEFA Yamkalia Vibaya Manchester City
Klabu ya Manchester City ya Uingereza imeepuka kukutana na meneja wake wa msimu ujao Pep Guardiola kwenye nusufainali ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya. Miamba hao wa Uingereza wamepwa Real Madrid ya Uhispania. Bayern Munich wa Ujerumani, ambao kwa sasa wamo chini ya Pep Guardiola watakutana na Atlético Madrid ya Uhispania Droo ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Uefa 2016 …
Liverpool Wapewa Kigogo wa Hispania EUROPA Ligi
klabu ya Liverpool ya Uingereza imekabidhiwa Villarreal ya Uhispania katika hatua ya nusu fainali ya Europa Ligi. Shakhtar Donetsk kutoka Ukraine nao watakutana na mabingwa watetezi Sevilla. Liverpool v Villarreal Shakhtar Donetsk v Sevilla Liverpool walifika nusufainali kwa kulaza Borussia Dortmund Alhamisi kwenye mechi ya kusisimua wakitoka nyuma 2-0 wakati wa mapumziko na kushinda 4-3 uwanjani Anfield.Walifanikisha ushindi wa jumla …
Liverpool Yatinga Nusu Fainali EUROPA Ligi
Hatua ya Robo fainali ya michuano ya Europa imeendelea tena Alhamisi kwa michezo minne, ambapo Liverpool imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali kufuatia ushindi wa mabao 4 -3 dhidi ya Borrussia Dortmund. Magoli ya Liverpool yamefungwa na wachezaji Divock Origi, Philippe Coutinho, Mamadou Sakho na Dejan Lovren. Na magoli ya Dortmund yamefungwa na Henrikh Mkhitaryan, Pierre-Emerick Aubameyang na Marco Reus …
Kipute cha Ligi Kuu Ya Uingererza Kuendelea Tena
Ligi kuu ya England inatarajiwa kuendelea tena mwishoni mwa wiki hii kwa michezo kadhaa, Jumamosi Norwich itaikaribisha Sunderland, Everton wao watakuwa wenyeji wa Southampton Man Utd watakuwa wenyeji wa Aston Villa katika dimba la Old Traford , Newcastlle itamenyana na Swansea city, West Brom watawaalika Watford na Chelsea watakuwa darajani Stamford dhidi ya Manchester City. Jumapili Vinara wa ligi Leicester …
Mount Meru Marathoni 2016 Kufanyika June
Mashindano ya riadha yajulikanayo kama Mount Meru Marathon yanatarajia kufanyika Mwezi June Mwaka Huu jijini hapa kwa kushirikisha wanariadha kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya Tanzania. Akizungumzi hilo Mratibu Mkuu wa mashindano hayo Alfred Nicolas alisema wakiwa kama waandaaji wanahitaji kuhakikisha wanariadha wa Tanzania wanakuwa wakishiriki mashindano kila mara ili kuwafanya kuwa tayari kwa Mashindano yoyote ndani na nje …