Klabu ya Real Madrid imemsainisha mkataba mpya winga wake Gareth Bale na kumfanya aendelee kudumu klabuni hapo mpaka 2022. Bale mchezaji wa zamani wa Southampton…
Continue Reading....Category: Michezo
Dodoma Kushuhudia Ligi ya Wanawake
Uzinduzi wa Ligi ya Taifa ya Wanawake unatarajiwa kufanyika Novemba 1, 2016 kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma katika mchezo ambao Baobao itacheza na Victoria…
Continue Reading....Mourinho, Moyes Wapigwa Rungu na FA
Kocha wa Manchester United Jose Mourinho ameshtakiwa na shirikisho la soka nchini Uingereza FA kwa kudai kwamba itakuwa vigumu kwa refa Anthony Taylor kusimamia mechi…
Continue Reading....Zali la Farid Mussa Latiki Huko Deportivo
UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, unapenda kuwataarifa wapenzi wa soka kuwa winga wao Farid Mussa, jana amepata kibali rasmi…
Continue Reading....Manchester United Waisambaratisha City
Manchester United walifika hatua ya robo fainali katika Kombe la EFL baada ya kuwalaza mabingwa watetezi Manchester City kwenye debi iliyochezewa uwanja wa Old Trafford.…
Continue Reading....Guardiola Amtaka Yaya Toure Amwombe Msamaha
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola anamuhitaji kiungo wa kati Yaya Toure lakini bado anasubiri kuombwa Raia huyo wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka…
Continue Reading....