Ligi kuu ya Uingereza inatarajia kuendelea wikiendi hii kwa michezo kadhaa kupigwa baada ya kushuhudia katikati ya wiki baadhi ya timu kubwa zikivuna pointi zote tatu Jumamosi 23 April 8:45 Man City v. Stoke 11:00 Aston Villa v. Southampton 11:00 Bournemouth v. Chelsea 11:00 Liverpool v. Newcastle Jumapili April 24 10:05 Sunderland vs Arsenal 12:15 Leicester City vs Swansea Jumatatu …
Leicester, Tottenham Waongoza Kutoa Wachezaji Bora
Timu za Leicester City na Tottenham imetoa wachezaji nane katika kikosi cha mwaka cha wachezaji bora wa wakulipiwa (PFA) wa ligi kuu ya England. kila timu ikiwa imetoa wachezaji wanne wa kikosi hicho bora cha msimu huu,Washambuliaji Jamie Vardy na Harry Kane kuu ndio wanaongoza safu ya mashambulizi ya kikosi hicho Kiungo wa Kijeruman Mesut Ozil ambae anawania tuzo ya …
Asernal Walejea Nafasi ya Tatu Ligi Kuu ya Uingereza
Washika bunduki wa London Arsenal wakicheza katika uwanja wao wa Emirate wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya West Bromwich Albion. Mshambuliaji Alexis Sanchez ndie alikuwa shujaa wa mchezo huo baada ya kuzipasia nyavu mara mbili alianza kufunga goli la kwa katika dakika ya 6 ya mchezo kisha akifunga goli la pili kwa mpira wa adhabu katika dakika ya …
Yanga Yatupwa Angola Kombe la Shirikisho
Katika droo iliyofanyika leo makao mkuu ya CAF Klabu YANGA SC imepangwa ba na Sagrada Esperanca ya Angola kuwania kuingia kwenye makundi ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika, mechi ya kwanza ikichezwa Dar es Salaam kati ya Mei 6 na 8 na marudiano ugenini kati ya mei 17 na 18. Inaitwa Grupo Desportivo Sagrada Esperança timu ambayo pia inajulikana …
Barcelona Hii Sasa Sifa, Yaangusha Mvua ya Mgoli
Klabu ya soka ya Barcelona imepata ushindi wa kishindo kwa kuichapa Deportivo La Coruna mabao 8-0. Mshambuliji wa Luis Suarez akianza kufunga bao la kwanza dakika ya 11 kisha akaongeza mengine matatu katika dakika ya 24′ 53′ 64 . Mabao mengine ya timu hiyo yalifungwa na kiungo Ivan Ivan Rakitic, beki Marc Bartra na nyota wa wawili wa timu hiyo …
Matokeo, Msimamo na Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza Soma Hapa
Ligi kuu England imeendelea kwa michezo mitatu kupigwa huku timu za West Ham, Liverpool,Man United wakishinda michezo yao. Wagonga nyundo wa West Ham wameibuka na ushindi wa maboa 3-1 dhidi ya Watford, mshambuliaji Andy Carrol, akifunga goli la kwanza dakika ya 11 kisha kiungo Mark Noble akifunga mabao mengine mawili kwa mikwaju ya penati. Liverpool wakashinda dabi yao kwa kuwachapa …