Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 64

Category: Michezo

Wadau wa Michezo Waishitaki ARFA Kwa BMT

Posted on: April 28, 2016 - Yohana Chance
Wadau wa Michezo Waishitaki ARFA Kwa BMT

Katibu Mkuu wa baraza la Michezo Tanzania (BMT) Mohamed Kiganja amekutana na wadau wa Michezo Mkoani hapa na kukuta Lundo la lawama zikielekezwa kwa Viongozi…

Continue Reading....

Taekwondo Ilivyotikisha Jiji la Arusha

Posted on: April 28, 2016 - Yohana Chance
Taekwondo Ilivyotikisha Jiji la Arusha

Mashindano ya Taekwondo yamefanyika mwishoni mwa Jijini Arusha yakishirikisha zaidi ya vijana 60 wa Rika mbalimbali kutoka Arusha na Mkoa wa Kilimanjaro Licha ya kuwepo…

Continue Reading....

Atletico Madrid Watanguliza Mguu Mmoja Fainali ya UEFA

Posted on: April 27, 2016 - Yohana Chance
Atletico Madrid Watanguliza Mguu Mmoja Fainali ya UEFA

Klabui ya Atletico Madrid imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1 – 0 dhidi ya Bayern Munich katika mchezo wa Nusu fainali ya ligi mabingwa…

Continue Reading....

Kamati ya Mashindano ya FA Imezipiga Faini Yanga na Coastal Union

Posted on: April 27, 2016 - Yohana Chance
Kamati ya Mashindano ya FA Imezipiga Faini Yanga na Coastal Union

Coastal Union imepoteza mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga baada ya washabiki wake kuwa chanzo cha Mwamuzi kuvunja mchezo huo…

Continue Reading....

Yanga Sc Yanusa Ubingwa, Azam Yaishusha Simba

Posted on: April 27, 2016 - Yohana Chance
Yanga Sc Yanusa Ubingwa, Azam Yaishusha Simba

YANGA SC imetanua kwigo kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mgambo JKT jioni ya leo Uwanja…

Continue Reading....

Vardy Kuikosa Manchester United Mwishoni mwa Wiki

Posted on: April 27, 2016 - Yohana Chance
Vardy Kuikosa Manchester United Mwishoni mwa Wiki

Mshambuliaji wa Uingereza Jamie Vardy atakosa mechi ya klabu yake Leicester City dhidi ya Manchester United Jumapili baada ya kuongezewa adhabu kutokana na utovu wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari