Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 62

Category: Michezo

Kamati ya Nidhamu ya TFF Kukaa Kesho

Posted on: May 2, 2016 - Yohana Chance
Kamati ya Nidhamu ya TFF Kukaa Kesho

Kikao cha Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kinafanyika kesho Jumanne Mei 3, 2016 kwenye ukumbi wa ofisi za shirikisho…

Continue Reading....

Meneja wa Arsenal Adai Alijua Yaliyomtokea

Posted on: May 2, 2016May 2, 2016 - Yohana Chance
Meneja wa Arsenal Adai Alijua Yaliyomtokea

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema alitarajia mashabiki zaidi waonyeshe kutoridhishwa naye wakati wa mechi ya Jumamosi dhidi ya Norwich. Arsenal walishinda 1-0. Wenger atatimiza…

Continue Reading....

Maamuzi ya Rufaa, TFF Kutoa Tamko Kesho

Posted on: May 2, 2016 - Yohana Chance
Maamuzi ya Rufaa, TFF Kutoa Tamko Kesho

Kamati ya Rufaa ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kesho Jumanne Mei 3, 2016 saa 5:00 asubuhi itatangaza uamuzi wa rufaa nane zilizowasilishwa…

Continue Reading....

Manchester United Waibania Leicester City Ubingwa, City Yachapwa

Posted on: May 1, 2016 - Yohana Chance
Manchester United Waibania Leicester City Ubingwa, City Yachapwa

Klabu ya Manchester United Imeinyima Ubingwa Klabu ya Leicester baada ya Timu hizo kutoka sare ya 1-1 wenyeji Man United wakitangulia kwa bao la Anthony…

Continue Reading....

Simba, Azam Watoka Patupu Uwanja wa Taifa

Posted on: May 1, 2016 - Yohana Chance
Simba, Azam Watoka Patupu Uwanja wa Taifa

Simba na Azam zimeshindwa kufungana baada ya kutoka 0-0 na kuifanya Yanga iendelee kukaa kileleni mwa ligi kuu Tanzania Bara Mchezo huo ulikuwa muhimu kwa…

Continue Reading....

Mvutano Mkubwa Hispania Kombe Halina Mwenyewe

Posted on: May 1, 2016 - Yohana Chance
Mvutano Mkubwa Hispania Kombe Halina Mwenyewe

Timu Kubwa za Hispania zilizopo kwenye mbio za kusaka taji la ligi hiyo zimeendelea kutiana joto baada ya timu zote kushinda katika michezo yao ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari