Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 61

Category: Michezo

Maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya Nidhamu Haya Hapa

Posted on: May 3, 2016 - Yohana Chance
Maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya Nidhamu Haya Hapa

Kamati ya Rufaa ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), leo Mei 3, 2016 imetupilia mbali rufaa saba kati ya nane zilizowasilishwa mbele yake…

Continue Reading....

UEFA Yaendelea Kumsakama Platin

Posted on: May 3, 2016 - Yohana Chance
UEFA Yaendelea Kumsakama Platin

Kamati kuu ya UEFA imekutana mjini Budapest katika mkesha wa mkutano mkuu wa Shirikisho hilo la Kandanda Ulaya lakini hatima ya rais wao aliyesimamishwa kazi…

Continue Reading....

Klabu ya Leicester City Ndio Wafalme Wapya wa Ligi Kuu ya Uingereza

Posted on: May 3, 2016May 3, 2016 - Yohana Chance
Klabu ya Leicester City Ndio Wafalme Wapya wa Ligi Kuu ya Uingereza

Klabu ya soka ya Leicester City wameshinda taji la ligi kuu England katika historia inayovutia kwenye ligi hiyo. Sare 2-2 waliyoipata Tottenham dhidi ya Chelsea…

Continue Reading....

Mbichi au Mbivu Kujulikana Leo UEFA Kati ya Bayern na Atletico

Posted on: May 3, 2016 - Yohana Chance
Mbichi au Mbivu Kujulikana Leo UEFA Kati ya Bayern na Atletico

Klabu ya Atletico Madrid itakua ugenini kukabiliana na Bayern Bunich katika ligi ya mabingwa ulaya ikiwa ni nusu fainali ya pili saa 3:45 usiku, baada…

Continue Reading....

Vardy Anyakua Tuzo, Awabwaga Kina Mahrez, N’golo

Posted on: May 2, 2016 - Yohana Chance
Vardy Anyakua Tuzo, Awabwaga Kina Mahrez, N’golo

Mshambuliaji wa Leicester Jamie Vardy ametawazwa mchezaji soka bora wa mwaka na chama cha waandishi wa kandanda Uingereza. Mshambuliaji huyo wa Uingereza alipata 36% ya…

Continue Reading....

Mechi ya Yanga SC na Ndanda Fc Yarudishwa Nyuma

Posted on: May 2, 2016 - Yohana Chance
Mechi ya Yanga SC na Ndanda Fc Yarudishwa Nyuma

Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Ndanda FC ya Mtwara na Young Africans umerudishwa nyuma kwa siku moja na sasa itachezwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari