Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 60

Category: Michezo

UEFA ni Fainali ya Kisasi Ndani ya San Siro

Posted on: May 5, 2016 - Yohana Chance
UEFA ni Fainali ya Kisasi Ndani ya San Siro

Manchester City wameshindwa kufika katika fainali za kwanza za klabu bingwa barani Ulaya (UEFA) baada ya kutolewa na mabingwa mara 10 wa michuano hiyo Real…

Continue Reading....

Azam Yabanwa,Yanga Sasa Ishindwe Yenyewe Kubeba Ndoo

Posted on: May 4, 2016 - Yohana Chance
Azam Yabanwa,Yanga Sasa Ishindwe Yenyewe Kubeba Ndoo

Baada ya Azam FC imepoteza matumaini ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, baada ya kulazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na JKT…

Continue Reading....

Simba Mkosi Juu ya Balaa, Michuano ya Basin Imepigwa Chini

Posted on: May 4, 2016 - Yohana Chance
Simba Mkosi Juu ya Balaa, Michuano ya Basin Imepigwa Chini

Shirikisho la Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), limeahirisha michuano ya kuwania Kombe la nchi unakopita Mto Nile ‘Nile Basin Cup’. Taarifa iliyotumwa Shirikisho la…

Continue Reading....

Uchaguzi wa Yanga Kufanyika Juni 25

Posted on: May 4, 2016 - Yohana Chance
Uchaguzi wa Yanga Kufanyika Juni 25

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetangaza Uchaguzi Mkuu wa Klabu ya Yanga kuwa utafanyika Juni 25, 2016 badala ya Juni 5,…

Continue Reading....

Antoine Griezmann Aipeleka Atletico Madrid Fainali ya UEFA

Posted on: May 3, 2016 - Yohana Chance
Antoine Griezmann Aipeleka Atletico Madrid Fainali ya UEFA

Licha ya Klabu ya Bayern Munich Kushinda katika mchezo wa nusu fainali ya pili ya ligi ya Mabingwa kwa bao 2-1 dhidi ya Atletico Madrid…

Continue Reading....

Yanga Ubingwa Huooooooooo, Yapiga Mtu 3

Posted on: May 3, 2016May 3, 2016 - Yohana Chance
Yanga Ubingwa Huooooooooo, Yapiga Mtu 3

Yanga imezidi kuusogelea ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kuafutia ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Stand United jioni ya leo Uwanja wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari