Klabu ya Leicester City Imefanikiwa Kuibuka na ushindi wa Magoli 3 – 1 dhidi yaBaada ya kufaniki Everton na Kukabidhiwa Taji lao mara baada ya…
Continue Reading....Category: Michezo
Hakuna wa Kumzuia Yanga, Waangola Waona Cha Moto Taifa
Kweli Yanga sasa ni zaidi ya Moto wa Petroli, imefanikiwa kuisambaratisha Timu ya Esparance ya Angola kwa Mabao 2 -0 katika hatua ya michuano ya…
Continue Reading....Mchezaji wa Soka Afariki Dunia Akiwa Uwanjani
Mchezaji wa soka la kimataifa eraia wa Cameroon, Patrick Ekeng, amefariki baada ya kuanguka uwanjani katika ligi ya Romania. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka…
Continue Reading....Tanzania Majanga Matupu Orodha ya FIFA
Tanzania imekuwa ya mwisho Afrika Mashariki katika orodha iliyotolewa na shirikisho la soka duniani Fifa baada ya kushika nafasi 129 duniani huku ikishika mkia miongoni…
Continue Reading....Hii Ndiyo Klabu Itakayo Wakilisha Nchi Kimataifa
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lingependa kutoa ufafanuzi kuwa iwapo Bingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa msimu 2015/16 inayoendelea atashinda pia taji…
Continue Reading....FIFA Yapanga Kuishusha Simba Daraja, Yailima Faini
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), limeipiga faini ya Franc 2,000 za Uswisi (sawa na Sh 4,582,000 za Tanzania), Klabu ya Simba baada ya kutiwa…
Continue Reading....