Kocha Mkuu wa timu ya soka Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa Mei 18, 2016 atarajiwa kutangaza kikosi cha wachezaji wake wakaokwenda Kenya kwenye mchezo…
Continue Reading....Category: Michezo
Meneja wa Klabu ya Everton Atimuliwa
Klabu ya Everton imemtimua meneja wa klabu hiyo Roberto Martinez baada ya kuifunza klabu hiyo kwa miaka mitatu. Kilabu hiyo ya Martinez ilio katika nafasi…
Continue Reading....Serengeti Boys Yatua Goa Salama
Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys imetua salama jijini Goa, India kwa ajili michuano maalumu ya…
Continue Reading....CAF Yaweka Hadharani Waamuzi Mchezo wa Ghana Dhidi ya Ethiopia
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limewateua waamuzi wanne kuchezesha mchezo Na. 27 kati ya Ethiopia dhidi ya Ghana kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa…
Continue Reading....Serengeti Boys Yapaa Kuelekea Goa
Timu ya soka ya vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka 17 maarufu kama jina la Serengeti Boys imeondoka leo Jumatano Mei 11,…
Continue Reading....Ubingwa wa Yanga Noma, Wamkuna Hadi Rais
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Emil Malinzi ameipongeza timu ya soka ya Young Africans kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom…
Continue Reading....