Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 55

Category: Michezo

Barcelona Ndio Habari ya Mjini, Watwaa Kombe

Posted on: May 14, 2016 - Yohana Chance
Barcelona Ndio Habari ya Mjini, Watwaa Kombe

Ligi kuu ya Hispania Inafikia tamati leo huku timu zikiwa zinakabana koo kueleke kubeba ndoo ya ligi hiyo tayari Barca imeshinda mchezo 3 – 0…

Continue Reading....

Yanga SC Kama Barca, Bayern Wapeleka Ndoo Jangwani

Posted on: May 14, 2016 - Yohana Chance
Yanga SC Kama Barca, Bayern Wapeleka Ndoo Jangwani

MABINGWA wapya wa ligi kuu Tanzania bara timu ya Yanga wamekabidhiwa kombe la ubingwa baada ya kumalizika kwa mchezo dhidi ya Ndanda ambao walitoka sare…

Continue Reading....

Sherehe za Bayern Munich Babu Kubwaaaaaaaaaaa

Posted on: May 14, 2016 - Yohana Chance
Sherehe za Bayern Munich Babu Kubwaaaaaaaaaaa

Klabu ya Bayern Munich imekabidhiwa taji la oleo baada ya kuilaza Hannover 96 kwa jumla ya Bao 3 – 1 wakiwa nyumbani kwao

Continue Reading....

Sasa FIFA Kuongozwa na Mwanamke

Posted on: May 14, 2016 - Yohana Chance
Sasa FIFA Kuongozwa na Mwanamke

Kwa mara ya kwanza katika historia, mwanamke ameteuliwa kuwa katibu mkuu wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), shirikisho ambalo kwa kiwango kikubwa limetawaliwa na wanaume.…

Continue Reading....

Nchemba Kuwapa Yanga Kesho Kombe Lao Taifa

Posted on: May 13, 2016 - Yohana Chance
Nchemba Kuwapa Yanga Kesho Kombe Lao Taifa

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba Madelu kesho Jumamosi Mei 14, 201 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom…

Continue Reading....

Zlatan Ibrahimovic Kutua Manchester United

Posted on: May 13, 2016 - Yohana Chance
Zlatan Ibrahimovic Kutua Manchester United

Mashambuliaji wa kiabu ya Paris St-Germain Zlatan Ibrahimovic ataondoka katika klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu. Mkataba wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari