Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 52

Category: Michezo

Serengeti Boys Yaendelea Kutikisa Mjini Goa

Posted on: May 19, 2016May 19, 2016 - Yohana Chance
Serengeti Boys Yaendelea Kutikisa Mjini Goa

Timu ya soka ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ leo Mei 19, 2016 imetinga hatua ya Nusu Fainali…

Continue Reading....

Erasto Nyoni Aliiponza Azam Kupokwa Pointi

Posted on: May 19, 2016 - Yohana Chance
Erasto Nyoni Aliiponza Azam Kupokwa Pointi

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limepitia marejeo ya uamuzi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) kuipoka pointi zake ilizovuna kutoka mchezo Na. 156…

Continue Reading....

TFF Yaweka Mitego Kwa Wapanga Matokeo Ligi Kuu

Posted on: May 19, 2016 - Yohana Chance
TFF Yaweka Mitego Kwa Wapanga Matokeo Ligi Kuu

Wakati pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara likitarajiwa kufungwa Jumapili Mei 22, 2016 kwa michezo minane, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetoa onyo…

Continue Reading....

Liverpool Yaangukia Pua Kwa Sevilla

Posted on: May 18, 2016 - Yohana Chance
Liverpool Yaangukia Pua Kwa Sevilla

Klabu ya Liverpool baada ya miaka mingi bila kuingia hatua ya fainali michuano ya Europa Ligi Leo Imeambulia kichapo cha bao 3-1 katika fainali dhidi…

Continue Reading....

Maandalizi Fainali Kombe la Shirikisho Sio Mchezo

Posted on: May 18, 2016 - Yohana Chance
Maandalizi Fainali Kombe la Shirikisho Sio Mchezo

Fainali za kuwania Kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) zitakazokutanisha timu za soka ya Young Africans na Azam FC, Uwanja wa…

Continue Reading....

Azam Waachana na Stewart Hall

Posted on: May 18, 2016 - Yohana Chance
Azam Waachana na Stewart Hall

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, leo imeachana rasmi na aliyekuwa Kocha Mkuu wake, Stewart Hall, baada ya kufanyika makubaliano ya pande…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari