Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 47

Category: Michezo

Mshambuliaji wa JKT Ruvu Awa Mchezaji Bora

Posted on: May 30, 2016 - Yohana Chance
Mshambuliaji wa JKT Ruvu Awa Mchezaji Bora

Mshambuliaji Abdulrahman Musa wa JKT Ruvu ameibuka mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Mei 2016. Musa katika kinganyiro hicho aliwapiku Donald Ngoma…

Continue Reading....

Ligi ya Mabingwa wa Mikoa Yaendelea Kutimua Vumbi

Posted on: May 30, 2016 - Yohana Chance
Ligi ya Mabingwa wa Mikoa Yaendelea Kutimua Vumbi

Michuano ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) msimu wa 2015/2016 inaendelea vizuri katika vituo vinne vya Kagera, Morogoro, Singida na Njombe ambapo itafikia tamati…

Continue Reading....

Kocha Mkuu wa Taifa Stars Apanga Hesabu za Waarubu

Posted on: May 30, 2016 - Yohana Chance
Kocha Mkuu wa Taifa Stars Apanga Hesabu za Waarubu

Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania, Charles Boniface Mkwasa amesema kwamba mchezo ujao kati ya Mapharao wa Misri na Taifa Stars, utakuwa ni…

Continue Reading....

Real Madrid Mabingwa Wa Historia UEFA

Posted on: May 28, 2016 - Yohana Chance
Real Madrid Mabingwa Wa Historia UEFA

Klabu ya Real Madrid Imefannikiwa kutwaa kwa mara nyingine kombe la ligi ya mabingwa ulaya mara baada ya kuifunga Atletico kwa penati 5-3 Timu hizo…

Continue Reading....

Waganda Wakabidhiwa Mchezo wa Stars na Kenya

Posted on: May 28, 2016 - Yohana Chance
Waganda Wakabidhiwa Mchezo wa Stars na Kenya

Waamuzi watatu wa soka kutoka Uganda, ndio wakaochezesha mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Harambee Stars ya Kenya utakaofanyika…

Continue Reading....

Dili la Mourinho Kutua Manchester United Lakamilika

Posted on: May 27, 2016 - Yohana Chance
Dili la Mourinho Kutua Manchester United Lakamilika

Makubaliano ya mkufunzi Jose Mourinho kuwa kocha wa kilabu ya Man United msimu ujao yameafikiwa baada ya mazungumzo ya siku tatu. Majadiliano kati ya ajenti…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari