Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 43

Category: Michezo

Mualgeria Atua West Ham na Kupewa Mkataba Mnono

Posted on: June 14, 2016 - Yohana Chance
Mualgeria Atua West Ham na Kupewa Mkataba Mnono

Klabu ya West Ham nchini Uingereza imemsajili mchezaji wa Algeria Sofiane Feghouli kwa kandarasi ya miaka mitatu. Winga huyo anajiunga na kilabu hiyo katika uhamisho…

Continue Reading....

Panone Fc, Alliance Uso Kwa Uso FDL

Posted on: June 14, 2016 - Yohana Chance
Panone Fc, Alliance Uso Kwa Uso FDL

TIMU za Abajalo, Ashanti United za Dar es Salaam zimepangwa pamoja na African Sports ya Tanga katika Kundi Ligi Daraja la kwanza Tanzania Bara. Bodi…

Continue Reading....

Greg Dyke Awapiga Mkwara UEFA

Posted on: June 14, 2016 - Yohana Chance
Greg Dyke Awapiga Mkwara UEFA

Mwenyekiti wa chama cha mpira cha Uingereza, Greg Dyke amewaandikia barua chama cha shirikisho la soka barani Ulaya,UEFA kutoa maelezo ya tija kuhusu mpangilio wa…

Continue Reading....
Posted on: June 14, 2016 - Yohana Chance

Katika Copa America Brazil wametupwa nje ya mashindano hayo baada ya kufungwa bao 1-0. Bao la utata dhidi ya Peru kwenye Mechi yao ya mwisho…

Continue Reading....

Switzerland Yapata Ushindi Mwembamba Euro

Posted on: June 12, 2016 - Yohana Chance
Switzerland Yapata Ushindi Mwembamba Euro

Switzerland imejipatia ushindi wake wa pili katika michuano ya bara Ulaya baada ya kuilaza Albania 1-0. Mapema Albania ilionekana kubabaika pale mlinda lango wao Etrit…

Continue Reading....

Nigeria Wapata Pigo Lingine Kwenye Soka

Posted on: June 11, 2016 - Yohana Chance
Nigeria Wapata Pigo Lingine Kwenye Soka

Shirikisho la soka la Nigeria linasema kuwa mkurugenzi wa kiufundi ambaye pia alikuwa kocha wa zamani wa timu ya taifa Amodu Shuaibu, ameaga dunia akiwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari