Timu ya Wales imefanikiwa kuilaza Urusi kwa mabao 3-0 katika mechi ya mwisho na muhimu ya makundi jana usiku. Aaron Ramsey na Neil Taylor na…
Continue Reading....Category: Michezo
Giorgio Marchetti wa EUFA Asifu Michuano ya Euro
Ongezeko la timu hadi 24 katika kombe la Ulaya, Euro 2016 halijaathiri ubora wa mchezo licha ya kuwa michezo hii imeshuhudia magoli machache kuliko mashindano…
Continue Reading....Yanga Yatua Uturuki Ikijiwinda dhidi ya TP Mazembe
YANGA SC tayari imewasili mjini Antalya, Uturuki kwa kambi ya siku tano kujiandaa na mchezo wake wa pili wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika…
Continue Reading....Ufaransa Yapanwa na Switzland Euro
Mechi kali ilikuwa ya vuta nikuvute kati ya Switzland na wenyeji wa michuano hiyo Ufaransa lakini wakaishia kutoka uwanjani pasipo kutikisa nyavu yaani sare ya…
Continue Reading....Yanga Yachapwa, Yahamisha Majeshi Kwa Mazembe
Wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho la Soka Afrika, Yanga ya Jangwani usiku wa kuamkia leo walikumbana na kibano cha bao moja kwa bila…
Continue Reading....Lukaku Aipeleka Ubelgiji Robo Fainali EURO
Romelu Lukaku alifunga mabao mawili huku timu ya taifa la Ubelgiji ikipata ushindi wake wa kwanza katika michuano ya Euro2016 na kuharibu fursa ya timu…
Continue Reading....