Jamhuri ya Ireland imeifunga Italis bao 1-0 bao lililofungwa na Robbie Brady katika mchezo wa Kundi E Euro 2016 Uwanja wa Pierre-Mauroy mjini Villeneuve d’Ascq,…
Continue Reading....Category: Michezo
Ronaldo Amnyang’anya Mtangazaji Maiki na Kuitupa
Wakati Mtangazaji wa Iceland amefurahi kweli kweli kwa Timu yake kufuzu, Mtangazaji Mreno yeye anaugulia maumivu ya moyo kwa tukio alilofanyiwa na Ronaldo na kumnyang’anya…
Continue Reading....Mmiliki wa TP Mazembe Ahukumiwa Miaka Mitatu Jela
Mgombea urais wa upinzani nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Congo Moise Katumbi, amehukumiwa kifungo cha miezi 36 jela kwa kununua nyumba kinyume cha sheria kwenye…
Continue Reading....Kadabla Kustaafu Soka Baada ya Michuano ya Euro
Nyota wa Sweden Zlatan Ibrahimovich ametangaza kwamba atastaafu katika soka ya kimataifa baada ya michuano ya Euro 2016. Taifa lake linakutana na Ubelgiji katika mechi…
Continue Reading....Higuain Apiga Bao Mbili Mwenyewe Copa America
Licha ya Kocha wa timu ya taifa ya Marekani Juergen Klinsmann kuwa na matumaini kwamba timu yake ingeweza kupata ushindi muhimu dhidi ya Argentina katika…
Continue Reading....Hispania Yakiona cha Moto dhidi ya Croatia
Timu ya Croatia imeichapa Hispania jumla ya magoli 2 – 1 katika mchezo wa kusisimua wa kundi D wa michuano ya Kombe la mataifa ya…
Continue Reading....