Saa chache tu baada ya timu ya kandanda ya Uingereza kuondolewa nje ya mashindano ya Euro 2016, Kocha wa Uingereza Roy Hodgson amejiuzulu wadhfa wake.…
Continue Reading....Category: Michezo
Messi Atundika Daluga Kuichezea Argentina
Mshambulizi wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amestaafu kutoka soka ya kimataifa. Mchezaji huyo bora zaidi duniani alitangaza hatua hiyo baada ya kukosa penalti iliyoiwezesha…
Continue Reading....Italia Kuivaa Hispania Michuano ya Euro
Michuano ya Euro 2016 itaendelea tena leo ambapo mabingwa wa zamani wa dunia Italia watapambana na miamba ya soka Uhispania huku mtanange mwingine ukiwa baina…
Continue Reading....Chile Mabingwa Wapya Copa America
Michuano ya Copa America imefikia tamati leo hii kwa mabingwa watetezi Chile kuendeleza ubabe wake dhidi ya Vigogo wa soka duniani Argentina. Dakika 120 za…
Continue Reading....Waziri Nape Aipongeza Serengeti Boys Kwa Ushindi
Baada ya timu ya taifa ya Serengeti Boys kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Shelisheli katika mchezo wa kwanza wa raundi ya Kwanza…
Continue Reading....