Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 37

Category: Michezo

Serengeti Boys Ndani ya Pipa Kuelekea Shelisheli

Posted on: June 30, 2016 - Yohana Chance
Serengeti Boys Ndani ya Pipa Kuelekea Shelisheli

Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imeondoka leo jijini Dar es Salaam alfajiri ya saa 9 kuelekea Seychelles kwa ajili…

Continue Reading....

Ureno Ipo Fiti Kuivaa Poland Robo Fainali

Posted on: June 30, 2016 - Yohana Chance
Ureno Ipo Fiti Kuivaa Poland Robo Fainali

Katika mwendelezo wa michuano ya Euro 2016 inayoendelea huko ufaransa leo kuna mchezo wa kuvunja chuma pale Poland na Ureno wanakutana katika mchezo wa robo…

Continue Reading....

Timu Majimaji Yampa Dili Kally Ongala

Posted on: June 30, 2016June 30, 2016 - Yohana Chance
Timu Majimaji Yampa Dili Kally Ongala

Kocha Kally Ongala ataendelea kubaki kuwa kocha mkuu wa Majimaji baada ya klabu hiyo baada ya kumpa mkataba mpya huku wakijiandaa kwa ajili ya msimu…

Continue Reading....

Enyimba Yaambulia Kichapo Kama Yanga

Posted on: June 30, 2016 - Yohana Chance
Enyimba Yaambulia Kichapo Kama Yanga

Klabu ya soka ya Mamelodi Sundowns ya Afrika kusini imeichabanga Enyimba ya Nigeria mabao 2-1 mjini Pretoria katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika…

Continue Reading....

Arsene Wenger Kumlithi Hodgson Uingereza

Posted on: June 29, 2016 - Yohana Chance
Arsene Wenger Kumlithi Hodgson Uingereza

Mtendaji mkuu wa FA Martin Glenn,amesema kuwa kupatikana kwa kocha mpya kunaweza kuchukua miezi kadhaa,huku pia akimtaja meneja wa Arsenal,Arsene Wenger ambaye anaingia katika mwaka…

Continue Reading....

Rais wa Argentina Amtaka Messi Atengue Kauli

Posted on: June 28, 2016 - Yohana Chance
Rais wa Argentina Amtaka Messi Atengue Kauli

Rais wa Argentina Mauricio Macri amemwita nyota wa soka wa nchi hiyo Lionel Messi kwa lengo la kumuomba atengue maamuzi yake ya kujiuzulu kucheza soka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari