Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 36

Category: Michezo

Soko Lachafuka Arsenal, Man City, Chelsea Wavuta Vifaaa Vipya

Posted on: July 4, 2016 - Yohana Chance
Soko Lachafuka Arsenal, Man City, Chelsea Wavuta Vifaaa Vipya

Arsenal wamekubali kumsajili mshambulizi chipukizi kutoka Japan Takuma Asano. Mshambulizi huyo mwenye umri wa miaka 21 amejiunga na the Gunners akitokea klabu ya nyumbani ya…

Continue Reading....

Ona Manchester United na Man City Wanavyokimbizana Sokoni

Posted on: July 2, 2016 - Yohana Chance
Ona Manchester United na Man City Wanavyokimbizana Sokoni

Manchester City imemsajili mshambuliaji wa Uhispania Nolito kutoka kilabu ya Celta Vigo kwa pauni milioni 13.8. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 ameweka kandarasi…

Continue Reading....

Ryan Giggs Ndio Basi Tena Manchester United

Posted on: July 2, 2016 - Yohana Chance
Ryan Giggs  Ndio Basi Tena Manchester United

Ryan Giggs amefikisha kikomo cha muda wake wa kuhudumu katika klabu ya Manchester United baada ya kukubali kuondoka kupitia makubaliano. United inatarajiwa kutoa taarifa rasmi…

Continue Reading....

Hii Serengeti Boys Si Mchezo,Yapiga Mtu 6

Posted on: July 2, 2016 - Yohana Chance
Hii Serengeti Boys Si Mchezo,Yapiga Mtu 6

TIMU ya taifa ya vijana ya Tanzaia chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imeshinda mabao 6-0 dhidi ya Shelisheli katika mchezo wa marudiano…

Continue Reading....

Ureno Yachapa Mtu Robo Fainali ya Euro

Posted on: July 1, 2016 - Yohana Chance
Ureno Yachapa Mtu Robo Fainali ya Euro

Ureno imetinga hatua ya nusu fainali katika michuano ya Euro inayoendelea nchini Ufaransa na kuwa nchi ya kwanza kufuzu katika hatua hiyo baada ya kuwafunga…

Continue Reading....

Zlatan Anakaribia Kutua Manchester United

Posted on: June 30, 2016 - Yohana Chance
Zlatan Anakaribia Kutua Manchester United

Mshambuliaji nyota kutoka Sweden Zlatan Ibrahimovicn anatarajiwa kukamilisha uhamisho wake kujiunga an Manchester United wiki hii. Mchezaji huyo wa umri wa miaka 34, kwa sasa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari