TIMU ya Tanzania (Taifa Stars) imepangwa kucheza na Msumbiji katika kinyang’anyiro cha kutafuta tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwaka 2013 nchini Afrika Kusini. Upangaji ratiba wa mechi hizo za mchujo ulifanywa Oktoba 28 mwaka huu) na kamati ndogo ya michuano hiyo mjini Malabo, Equatorial Guinea. Jumla ya nchi 47 ikiwemo mwenyeji Afrika Kusini ndizo …
Ligi Kuu ya Vodacom Mzunguko wa kwanza kumalizika
MZUNGUKO wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom unamalizika wiki hii kwa mechi zifuatavyo; Oktoba 30- Kagera Sugar vs Azam (Uwanja wa Kaitaba) Oktoba 30- Villa Squad vs Ruvu Shooting (Uwanja wa Chamazi) Oktoba 30- Mtibwa Sugar vs Moro United (Uwanja wa Manungu) Novemba 2- Oljoro JKT vs Villa Squad (Uwanja wa Sheikh Kaluta Amri Abeid) Novemba 2- Moro United …
Mtanange wa Yanga, Simba waingiza mil. 337
MECHI ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya timu maarufu za Yanga na Simba iliyochezwa Oktoba 29 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 337,537,000. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari kutoka TFF, inasema watazamaji waliokata tiketi kushuhudia mechi hiyo walikuwa 53,366 ambapo kiingilio kilikuwa sh. 5,000, sh. 7,000, sh. 10,000, sh. 15,000 …
Yanga yailamba Simba 1-0
MCHEZAJI, Davis Mwape wa timu ya Yanga ya Dar es Salaam jana alikuwa mwiba kwa mashabiki na klabu ya Simba baada ya kufanikiwa kuifungia timu yake bao la pekee lililoipa ushindi timu hiyo. Yanga imefanikiwa kunyakuwa pointi zote tatu katika mchezo wa jana baada ya kushinda 1-0 dhidi ya watani wao wa jadi Simba. Bao hilo lililofungwa kipindi cha pili …
Picha Za Mchuano wa Kandanda Siku ya Uhuru wa Uganda 2011
Timu ya Bongo Starz ilijumuika na timu za Uganda, Kenya, na Elitrea kwenye mashindano ya kusheherekea siku ya uhuru wa Uganda (Octoba 9, 2011) ndani ya jiji la Los Angeles, Marekani. Timu ya Bongo Starz ilifanya vizuri sana katika mashindano hayo kwa kufika fainali. Kwa mbinde kubwa Elitrea ilinyakua kombe kwa ushindi wa bao 2 – 1 dhidi ya Bongo Starz. …
Zijue kamati mbalimbali za TFF na kazi zake
ZIJUE KAMATI ANUAI ZA TFF, 2011 – 2012 BOFYA HAPA