TIMU ya Simba ya Dar es Salaam imetoka droo na Moro Utd yaani (3-3), katika mchezo uliopigwa jijini Dar es Salaa. Yanga imefanikiwa kuifunga Polisi ya Dodoma (1-0), huku Azam FC ikitoshana nguvu na Toto Africa Mwanza kwa kutoka (1-1) mjini Mwanza. JKT Ruvu na Ruvu Shooting (1-1). Azam FC tayari imerejea jijini Dar es Salaam kwa mapunziko ya wachezaji …
Taifa Stars kuanza kambi kesho
Na Mwandishi Wetu TIMU ya Taifa (Taifa Stars) inaingia kambini Novemba 3, kujiandaa kwa mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Chad itakayochezwa Novemba 11 jijini N’Djamena. Kwa mujibu wa taarifa iliyolewa leo kwa vyombo vya habari toka TFF ni kwamba wachezaji wote wanatakiwa kuripoti kambini kesho, isipokuwa wale wanaocheza mpira wa kulipwa nje ya nchi ambao wataanza …
Serengeti Breweries yatumia mil 823 kudhamini Tusker Challenge
Na Joachim Mushi KAMPUNI ya Bia ya Serengeti Breweries Ltd (SBL) inayovuma kwa bia yake ya Tusker leo mchana huu imekabidhi hudi ya sh. milioni 823 kwa Shirikisho la Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) ikiwa ni kitita cha udhamini wa Mashindano ya CECAFA Tusker Challenge mwaka huu. Akizungumza katika hafla ya kukabidhi hundi hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa SBL, Richard …
TFF yatoa ufafanuzi juu ya Kamati ya Ligi Kuu
YAH: KAMATI YA KUSIMAMIA LIGI KUU NA DARAJA LA KWANZA Uamuzi wa kutenganisha usimamizi wa Ligi Kuu na mashindano mengine haukufanyika siku za karibuni. Ulifanyika mwaka 2006 wakati Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wakati ule ilipoamua kuwa hatua zichukuliwe kuboresha Ligi Kuu nchini na kupanga utaratibu mzuri wa kuisimamia peke yake. TFF iliomba msaada …
Career highlights – Jay Jay Okocha
IN football, there are no prizes for second place. As it will be for the contestants in the GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™, it’s all about working hard, aiming as high as possible, and most importantly, getting out there and giving it your best. As the saying goes, if you don’t shoot you won’t score – and when I look back over …
22 waitwa kuunda Stars ya kuivaa Chad
Na Mwandishi Wetu KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Jan Poulsen leo ametangaza kikosi cha wachezaji 22 kwa ajili ya mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Chad itakayochezwa Novemba 11 mwaka huu jijini N’Djamena. Poulsen ametangaza kikosi hicho leo alipozungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam. Mchezaji aliyeitwa kwa mara ya kwanza ni kipa Mwandini Ally …