IT must come as no surprise for me to tell you that I love football. It’s been my life for many years and it always will be, which is why I was such a big fan of the first series of TV’s Guinness Football Challenge . So to be asked to be a part of the show’s second season is …
Taifa Stars yalala 1-0 dhidi ya Chad
TIMU ya Taifa Stars ya Tanzania leo jioni imeshindwa kutumia vizuri uwanja wake wa nyumbani baada a kufungwa goli moja bila na timu ya Taifa ya Chad. Hata hivyo ushindi wa Chad haujaiathiri sana timu ya Taifa ya Tanzania kwani imefanikiwa kuingia katika michuano ya makundi kugombea fainali za Kombe la Dunia inayotarajia kuanza mwakani 2012 hapo baadaye. Stars imefanikiwa …
Makocha wa Tanzania, Chad wataja vikosi vitakavyoanza leo
Na Mwandishi Wetu MAKOCHA wa Timu za Taifa la Tanzania na Chad wametaja vikosi vya wachezaji ambao muda mfupi ujao wataingia uwanjani katika mtanange wa marudiano ya mechi za kufuvu fainali za Kombe la Dunia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface Wambura kwa vyombo vya habari mapema leo-amesema tayari …
Stars yaizima Chad jijini N’Djamena
Na Mwandishi Wetu, N’Djamena-Chad KOCHA wa Taifa Stars, Jan Poulsen amepata ushindi wake wa kwanza ugenini tangu alipochukua timu hiyo kutoka kwa Mbrazil Marcio Maximo, Agosti mwaka jana baada ya kuifunga Chad mabao 2-1 katika mechi ya kwanza ya mchujo ya makundi ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwaka 2014 nchini Brazil. Ikicheza kwa mara ya kwanza nchini Chad, …
Taifa Stars yawapa raha Watanzania, yashinda 2-1 ugenini
MCHEZO wa maadalizi ya kufuzu mechi za makundi kuelekea fainali za kombe la Dunia kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Timu ya Taifa ya Chad umemalizika muda mfupi uliopita na Tanzania kuibuka mshindi. Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Idriss Mahamat Ouya mjini N’Djamena, Stars imefanikiwa kushinda mabao mawili kwa moja la Chad. Kwa mujibu wa taarifa ambazo mtandao …
Ujue Msimamo wa Ligi Kombe la Uhai
Msimamo wa Ligi (U20)- Uhai Cup 2011-12 Draw-Fixture2