Na Mwandishi Wetu BENKI ya NIC Tanzania kwa kushirikiana na Klabu ya Lions ya Jijini Dar es Salaam wamejitokeza kudhamini mashindano ya mchezo ya Gofu ili kusaidia watu wenye matatizo ya macho. Katika mashindano hayo benki hiyo imetoa jumla ya Dola za Kimarekani 2000 sawa na sh. milioni 3.5 za Tanzania lengo likiwa ni kuinua afya za wananchi hususani wanaosumbuliwa …
Uchaguzi wa viongozi Cecafa kufanyika Dar
Na Mwandishi Wetu UCHAGUZI wa viongozi wa Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) utafanyika Novemba 24 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo jijini Dar es Salaam na TFF, Mwenyekiti wa sasa Leodegar Tenga ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) anatetea nafasi yake. …
Mashindano ya Kombe la Uhai yaingia Robo Fainali
MICHEZO ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 kwa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom imeingia hatua ya robo fainali ambayo itachezwa kesho (Novemba 21 mwaka huu) kwenye viwanja vya Karume na Azam ulioko Chamazi. Oljoro JKT na Simba zitapambana saa 3 kamili asubuhi kwenye Uwanja wa Karume wakati katika muda huo huo kwenye Uwanja wa Azam kutakuwa na …
Maandalizi ya Tusker Chalenji yaendelea kushamiri
Na Joachim Mushi KAMPUNI ya Bia ya Serengeti Breweries Ltd (SBL) imesema inajisikia faraja kuendelea kudhamini mashindano ya mpira wa miguu kwa timu ya Tanzania kwani, lengo ni kuhakikisha inazipa uzoefu timu ili ziweze kufanya vizuri katika mashindano ya Kombe la Dunia hapo baadaye. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Phraim Mafuru …