Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 32

Category: Michezo

Waamuzi Mechi za Simba na Yanga Kujulikana Punde

Posted on: July 14, 2016 - Yohana Chance
Waamuzi Mechi za Simba na Yanga Kujulikana Punde

Kamati ya Waamuzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, imeandaa kozi mbalimbali ikiwa ni maandalizi ya kwa waamuzi katika michuano ya kimataifa sambamba na…

Continue Reading....

Real Madrid, Manchester Zashushwa Kimapato

Posted on: July 14, 2016July 14, 2016 - Yohana Chance
Real Madrid, Manchester Zashushwa Kimapato

Klabu ya NFL, Dallas Cowboys, ndiyo inayoongoza thamani yake ikiwa $4bn (£3.03bn), na ni mara ya kwanza kwa klabu ambayo haichezi soka kuongoza katika orodha…

Continue Reading....

Tanzania Bado Hali Tete Viwango vya FIFA

Posted on: July 14, 2016 - Yohana Chance
Tanzania Bado Hali Tete Viwango vya FIFA

Licha ya kupanda hatua 13, Taifa Stars ya Tanzania inaorodheshwa katika nafasi ya 123 Inafatwa kwa karibu na Burundi ambayo vilevile imepanda hatua 7 na…

Continue Reading....

Naibu Waziri Wambura Asifu Ubora Kituo cha Michezo cha TSPS

Posted on: July 14, 2016July 14, 2016 - Yohana Chance
Naibu Waziri Wambura Asifu Ubora Kituo cha Michezo cha TSPS

Naibu waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Anastazia Wambura akikaribishwa kwenye kituo cha michezo cha Trust St. Patrick kulia ni mkurugenzi wa…

Continue Reading....

Safari ya Twiga Stars Rwanda Yaingiliwa

Posted on: July 13, 2016 - Yohana Chance
Safari ya Twiga Stars Rwanda Yaingiliwa

Shirikisho la Mpira wa Miguu Rwanda (FERWAFA), limeahirisha mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya timu ya taifa ya wanawake ya Rwanda dhidi ya wageni,…

Continue Reading....

Kenya Yaipotezea Serengeti Boys, Yatimukia COSAFA

Posted on: July 13, 2016 - Yohana Chance
Kenya Yaipotezea Serengeti Boys, Yatimukia COSAFA

Timu ya Vijana ya Kenya, imefuta ziara yake ya kwenda Dar es Salaam kwa ajili kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya vijana wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari