Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 31

Category: Michezo

Demba Ba Avunjika Mguu, Matatani Kurudi Dimbani

Posted on: July 18, 2016 - Yohana Chance
Demba Ba Avunjika Mguu, Matatani Kurudi Dimbani

Mshambulizi wa zamani wa klabu ya Chelsea ya Uingereza Demba Ba amevunjika mguu akiwa uwanjani katika mechi ya ligi kuu ya Uchina. Raia huyo wa…

Continue Reading....

Ubelgiji Yatimua Meneja Wao, Shevchenko Apata Dili

Posted on: July 16, 2016 - Yohana Chance
Ubelgiji Yatimua Meneja Wao, Shevchenko Apata Dili

Ubelgiji imefuta kocha wa timu ya taifa Marc Wilmots baada ya timu yake iliyopigiwa upatu na yenye wachezaji wengi nyota kushindwa kusonga mbele zaidi ya…

Continue Reading....

Abajalo Fc Wapigwa Rungu na TFF Kwa Udanganyifu

Posted on: July 16, 2016 - Yohana Chance
Abajalo Fc Wapigwa Rungu na TFF Kwa Udanganyifu

Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji chini ya Mwenyekiti, Richard Sinamtwa imebaini kasoro kwa Abajalo FC kumtumia mchezaji Laurent E. Mugia hivyo kuamua…

Continue Reading....

Hawa Ndio Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Ligi kuu

Posted on: July 16, 2016 - Yohana Chance
Hawa Ndio Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Ligi kuu

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania limetangaza wanamichezo wote wanaowania tuzo 13 kwenye hafla ya washindi wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa msimu wa 2015/2016…

Continue Reading....

Huyu Ndiye Mmiliki wa Timu ya Stand United

Posted on: July 16, 2016 - Yohana Chance
Huyu Ndiye Mmiliki wa Timu ya Stand United

Katika kikao chake cha 13 Julai 2016, Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imetoa msimamo kuhusu suala la Stand United…

Continue Reading....

Wabaya wa Yanga Wameanza Zoezi la Kitisho

Posted on: July 15, 2016 - Yohana Chance
Wabaya wa Yanga Wameanza Zoezi la Kitisho

Wapinzani wa klabu ya Young Africans, katika michuano ya kuwania Kombe la Shirikisho Barani Afrika, Medeama kutoka Ghana, wametua Dar es Salaam tayari kwa mechi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari