Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 30

Category: Michezo

Duu Kwa Ratiba Hii Simba na Yanga Watachomoa Kweli ?

Posted on: July 19, 2016July 19, 2016 - Yohana Chance
Duu Kwa Ratiba Hii Simba na Yanga Watachomoa Kweli ?

Ratiba ya Ligi Ligi Kuu Tanzania Bara Maalufu Vodacom imetolewa rasmi na kufanya Timu zote zinaanza maandalizi mapema kabla ya kipute hicho kuanza

Continue Reading....

Borussia Dortmund Yaanza Kulisakama Jiji la Manchester

Posted on: July 19, 2016 - Yohana Chance
Borussia Dortmund Yaanza Kulisakama Jiji la Manchester

Maandalizi ya ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga yamepamba moto, Borussia Dortmund yaelekea barani Asia kwa michezo ya kirafiki dhidi ya Manchester United na Manchester City…

Continue Reading....

Hii Vita ya Kumpata Nani Bora Huwa Haina Mwamuzi

Posted on: July 19, 2016July 19, 2016 - Yohana Chance
Hii Vita ya Kumpata Nani Bora Huwa Haina Mwamuzi

Shirikisho la soka barani Ulaya limetangaza majina ya wachezaji 10 watakaowania tuzo ya mchezaji bora Ulaya kwa msimu wa mwaka 2015/2016, majina hayo 10 yametangazwa…

Continue Reading....

Soma Washindi wa Tuzo za Ligi Kuu Tanzania Bara

Posted on: July 18, 2016 - Yohana Chance
Soma Washindi wa Tuzo za Ligi Kuu Tanzania Bara

BEKI wa Yanga, Juma Abdul Jaffar Mnyamani ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2015/2016. Katika sherehe za…

Continue Reading....

Utamu wa Ligi Kuu Uhispania Umerejea Tena

Posted on: July 18, 2016 - Yohana Chance
Utamu wa Ligi Kuu Uhispania Umerejea Tena

Ligi kuu ya Hispania inatarajiwa kuanza Agosti 21 kwa Mabingwa Watetezi FC Barcelona kucheza na Real Betis na Mabingwa wa Ulaya Real Madrid kuanza na…

Continue Reading....

FIFA Yazisaidia Vilabu Kupata Udhamini Mnono

Posted on: July 18, 2016 - Yohana Chance
FIFA Yazisaidia Vilabu Kupata Udhamini Mnono

Shirikisho la soka Ulimwenguni (FIFA) limetoa Ratiba ya Kombe la Dunia kwa Klabu ambalo litadhaminiwa na Alibaba E-Auto na kufanyika huko Japan kati ya Desemba…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari