Ligi kuu ya Uingereza imeendelea tena leo kwa michezo miwili ambapo katika mchezo wa kwaza Manchester United waliisambaratisha Klabu ya AFC Bournemouth kwa mabao 3…
Continue Reading....Category: Michezo
Kama Riadha Basi Mfalme ni Mo Farah
Mo Farah amekuwa mwanariadha wa kwanza wa Uingereza wa mbio na uwanjani kushinda nishani tatu za dhahabu katika michezo ya olimpiki, baada ya kuwaonyesha wakenya…
Continue Reading....Klabu ya Yanga Yalimwa Faini na TFF
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), leo saa 6:00 usiku litafunga tena dirisha la usajili baada ya kulifungua jana kwa saa 48 na…
Continue Reading....Simba na URA Watoana Jasho Uwanja wa Taifa
Wekundu wa Msimbazi Simba leo wamelazimishwa sare goli 1-1 kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya URA ya Uganda uliochezwa kwenye uwanja wa taifa…
Continue Reading....Leicester City Waanza Ligi Kuu Uingereza Kwa Kichapo
Mabingwa watetezi wa Ligi ya England Leicester City wameanza msimu wa 2016/17 kwa kuchapwa ugenini na Hull City. Leicester wamechapwa 2-1, mabao ya Hull yakifungwa…
Continue Reading....Yanga Yaleta Matumaini kwa Kuifumua Mo Bejaia Taifa
YANGA SC imefufua matumaini ya kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, kufuatia ushindi wa 1-0 jioni ya leo dhidi ya Mouloudia Olympique Bejaia…
Continue Reading....