Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 19

Category: Michezo

Mechi ya Yanga na JKT Ruvu Yapigwa Kalenda

Posted on: August 29, 2016August 29, 2016 - Yohana Chance
Mechi ya Yanga na JKT Ruvu Yapigwa Kalenda

Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imethibitisha kuwa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Young Africans…

Continue Reading....

Gyan Afurahia Kurudi tena Uingereza

Posted on: August 29, 2016 - Yohana Chance
Gyan Afurahia Kurudi tena Uingereza

Nahodha wa kikosi cha soka nchini Ghana Asamoah Gyan anatarajiwa kujiunga na klabu ya Reading kwa mkopo kutoka timu ya China Shanghai SIPG. Mchezaji huyo…

Continue Reading....

Marcus Rashford Aibeba Manchester United Dakika za Majeruhi

Posted on: August 27, 2016 - Yohana Chance
Marcus Rashford Aibeba Manchester United Dakika za Majeruhi

Mchezaji chipukiozi wa Manchester United Marcus Rashford ameiokoa timu yake kwa kuipatia bao pekee na la ushindi dakika ya 90 baada ya kupokea pasi safi…

Continue Reading....

Simba SC Yaanza Kuota Jiwe la Moto

Posted on: August 27, 2016 - Yohana Chance
Simba SC Yaanza Kuota Jiwe la Moto

SIMBA SC imelazimishwa sare ya bila kufungana na JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa,…

Continue Reading....

Manji Aweka Mambo Sawa Jangwani, Wachezaji Fulu Kicheko

Posted on: August 27, 2016 - Yohana Chance
Manji Aweka Mambo Sawa Jangwani, Wachezaji Fulu Kicheko

MWENYEKITI wa Yanga SC, Yussuf Manji jana amekutana na wachezaji wa timu hiyo na kuwalipa posho zao za msimu uliopita – lakini pia ameunda Kamati…

Continue Reading....

Timu ya Kina Samatta Waangukia Kundi F Europa

Posted on: August 26, 2016 - Yohana Chance
Timu ya Kina Samatta Waangukia Kundi F Europa

Mchezaji wa kulipwa Mtanzania Mbwana Samatta Anakuwa Mtanzania wa Kwanza kushiriki michuano mikubwa ya soka baada ya timu yao kufuzu michuano ya Europa Ligi na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari