Manchester City imefanikiwa kuifunga mabao 2-1 na Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Mabao ya timu ya…
Continue Reading....Category: Michezo
Yanga Yaipumulia Simba, Azamu Azidi Kuchanja Mbuga
YANGA SC imezinduka katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, baada ya kuichapa Maji Maji ya Songea mabao 3-0 jioni ya leo Uwanja wa Uhuru,…
Continue Reading....Jack Wilshere Hang’oleki Atafia Arsenal
Meneja Arsene Wenger amesema matumaini yake ni kwamba kiungo wa kati Jack Wilshere, ambaye kwa sasa ametumwa Bournemouth kwa mkopo, atasalia Arsenal maisha yake ya…
Continue Reading....Ukisikia Kuvuja Kwa Pakacha Ndio Huku
Crystal Palace wamemchukua kiungo wa kati wa zamani wa Arsenal Mathieu Flamini, ambaye alikuwa amesalia kuwa ajenti huru baada ya kuruhusiwa kuondoka na klabu ya…
Continue Reading....Kifo cha Msomali ni Pigo Kwenye Soka la Tanzania
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa Chama Cha Soka Mkoa wa Morogoro (MRFA), Paschal…
Continue Reading....Mnyama Aunguruma Shamba la Bibi, Yanga Yashikwa
BAO la kipindi cha pili la mshambuliai Mrundi, Laudit Mavuto limeipa Simba SC ushindi wa 2-1 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu…
Continue Reading....