Kocha wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa hakuwahi kufikiria kwamba angemuuza mshambuliaji wa Uingereza Theo Walcot msimu uliopita. Walcott alianza mechi 15 za…
Continue Reading....Category: Michezo
Kichuya Abeba Mpunga wa Mwezi
Mshambuliaji Shiza Kichuya wa Simba SC amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa Septemba msimu wa 2016/2017. Kichuya ambaye ni mshambulaji aliwashinda…
Continue Reading....Azam, Mtibwa Vitani Leo Taifa
Michezo sita itafanyika leo Jumatano Oktoba 19, mwaka huu wakati keshokutwa Alhamisi Oktoba 20, kutakuwa na mchezo mmoja tu. Mchezo wa leo Na. 86 wa…
Continue Reading....Acha Kuchezea Moto wa Leicester City
Klabu ya soka ya Leicester City imeendeleza wimbi la ushindi katika michuano ya ligi binya magwa barani Ulaya baada ya kuibuka na ushindi wa bao…
Continue Reading....Liverpool, Manchester United Hakuna Mbabe
Mchezo wa kusisimua wa ligi kuu ya soka England umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana. Katika mchezo huo kipindi cha kwanza timu zote zilishambuliana kwa…
Continue Reading....Didier Drogba Agoma Kuanzia Benchi
Aliyekuwa mchezaji wa Chelsea Didier Drogba alikataa kuichezea Montreal Impact baada ya kuambiwa hataanzishwa dhidi ya Toronto ,kulingana na kocha Mauro Biello. Drogba mwenye umri…
Continue Reading....