Matamasha ya Airtel Yatosha Kufanyika Nchi Nzima

-Tamasha la kwanza litafanyika Morogoro siku ya Jumapili na Jumatatu AIRTEL Tanzania leo imetangaza mpango wake wa kufanya matamasha ya Airtel Yatosha yenye lengo la kutoa burudani na kuwaelimisha jamii na wateja wake juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Airtel ikiwemo huduma mpya Airtel Yatosha inayomuwezesha mteja kupiga simu kwenda mtandao wowote kwa gharama nafuu zaidi. Akizungumza katika kutambulisha matamasha …

Airtel Yatosha Yaenda Mikoani

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imeendelea kusambaza huduma ya Airtel yatosha katika mikoa mbalimbali nchini baada ya kuzindua huduma mpya ya punguzo la upigaji simu maarufu kama ‘Airtel Yatosha’ katika mikoa ya kanda ya ziwa. Airtel sasa imeanza kuitambulisha huduma hiyo kwa wadau na wateja wake katika mikoa mbalimbali nchini ili waweze kunufaika nayo Huduma ya Airtel Yatosha …

Serengeti Breweries Wazindua Tupo Pamoja Katika Shangwe za Mafanikio

Na dev.kisakuzi.com KAMPUNI ya Bia ya Serengeti Breweries Ltd (SBL) leo imezindua kampeni mpya za matangazo kuitangaza bia yake maarufu ya Serengeti inayopendwa na idadi kubwa ya watu. Kampeni hizo maalumu ambazo zitajulikana kama Tupo Pamoja Katika Shangwe za Mafanikio. Akizungumza na waandishi wa habari na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa kampeni hizo jijini Dar es Salaam ndani …

Wajasiriamali Wanawake Mwanza Wapewa Mbinu

Na Anna Nkinda – Magu KINA mama Wajasiriamali nchini wametakiwa kuongeza ubunifu katika vikundi vyao ikiwa ni pamoja na kutengeneza bidhaa bora zaidi ambazo zitakidhi kiwango cha kimataifa na hivyo kuwa na soko la uhakika la ndani na nje ya nchi. Rai hiyo imetolewa hivi karibuni na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanawake wajasiriamali wa Mkoa …