*Wateja kupata muda wa maongezi wa dakika 275 bure AIRTEL Tanzania Imeungana kwa Pamoja na Kampuni ya Nokia na kuzindua simu ya Nokia Lumia 620 itakayowawezesha wateja wa Airtel nchi nzima kuunganishwa na huduma ya technologia ya juu kwa kupitia simu za kisasa na kupata ofa kabambe za bure za muda wa mongezi, ujumbe mfupi na kifurushi cha internet kwa …
Flightlink Yafanya Kweli Maonesho ya Biashara China
Mkurugenzi wa Kampuni ya ndege ya Flightlink Capt. Munawer Dhirani akiwa katika picha ya pamoja na na mmoja wa washiriki wa maonyesho hayo kutoka nchini humo Mkurugenzi wa Kampuni ya ndege ya Flightlink Capt. Munawer Dhirani akizungumza na wageni mbalimbali waliomtembelea meza yake kwenye banda la Tanzania katika maonyesho ya utalii ya COTMM 2013 jijini yanayofanyika jijini Beijing China Mkurugenzi …
Benki ya Posta Yapata Faida ya Bilioni 5.6
Na Mwandishi Wetu BENKI ya Posta Tanzania (TPB) imepata faida ya jumla ya sh. bilioni 5.6 kabla ya kodi (profity before tax) ikiwa ni faida iliyopatikana kwa mwaka ulioishia Desemba 2012. Taarifa hiyo imetolewa muda mfupi uliopita jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi, alipokuwa akizungumza na waandishi habari Makao Makuu ya Benki …
Guinness Welcomes Hollywood’s Biggest Star Tom Cruise
GUINNESS WELCOMES HOLLYWOOD’S BIGGEST STAR TOM CRUISE CRUISE ENJOYS A GUINNESS AHEAD OF PREMIER OF ‘OBLIVION’ GUINNESS rolled out the red carpet to welcome one of the world’s most famous actors, Tom Cruise at the GUINNESS STOREHOUSE in Dublin, Ireland. Cruise, joins other global stars such as American President Barrack Obama who has been seen enjoying a GUINNESS on numerous …