Kiwanda cha Konyagi Chalalamika Kuchafuliwa na Magazeti

MKURUGENZI Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), David Mgwassa jana jijini Dar es Salaam amelalamikia kitendo cha baadhi ya magazeti nchini ambayo amedai yana uhusiano wa nchi jirani yameyokuwa yakitumika kuchafua bidhaa za kampuni yao (TDL). Kiongozi huyo ametoa tamko hilo alipokuwa akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam. “Tumeanza kuona magazeti yenye affiliation na nchi za …

MasterCard to Power Nigerian Identity Card Program

  *13 Million Cards to be issued first, in largest card rollout of its kind in Africa   THE Nigerian National Identity Management Commission (NIMC) and MasterCard today announced at the World Economic Forum on Africa the roll-out of 13 million MasterCard-branded National Identity Smart Cards The National Identity Smart Card is the Card Scheme under the recently deployed National …

Serikali kufufua kilimo cha kahawa

Na Immaculate Makilika- Maelezo  SERIKALI imeandaa mkakati wa kuendeleza  kilimo cha kahawa ( Tanzania Coffee Industry Development  Strategy,2012-2022) kwa lengo la kuendeleza kilimo cha  zao  hilo  nchini kupitia Bodi ya kahawa  nchini  na kwa kushirikiana na wadau wa sekta hiyo. Aidha  Serikali imefafanua  kuwa hatua hiyo ni  kuongeza uzalishaji ,tija na ubora wa kahawa Kitaifa ili kuboresha mapato ya wakulima …

Airtel Yatangaza Mshindi wa Milioni 50 Promosheni ya Amka Milionea

ZAIDI ya washindi 1458 wazawadiwa pesa taslimu zenye thamaniya shilingi million 626 Hadi mwisho wa promosheni hii. Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imechezesha droo ya mwisho ya promosheni ya Amka millionea na kumzawadia mshindi  wa droo hiyo kitita cha shilingi million 50. Droo hiyo kubwa na ya mwisho ilifanyika katika Makao Makuu ya Airtel Morocco na kushuhudia na …

Dubai Expo 2020 Reports on two Social Initiatives in Africa…!

UNDER the theme ‘Connecting Minds, Creating the Future’, Dubai is building its Expo 2020 bid on three sub-themes representing the forces that inspire global development: sustainability (lasting sources of energy and water); mobility (smart systems of logistics and transportation); and opportunity (new paths to economic development). Dubai Expo 2020 reports on two social initiatives in Africa that are helping foster …