Bwa Deogratias Kabeho, Meneja wa Mauzo wa Kampuni ya Smile (Wa kwanza Kushoto) akiwa katika Picha ya Pamoja na baadhi ya wafanyakazi wenzake katika banda lao lililopo Katika Viwanja Vya Sabasaba barabara ya Kilwa Jijini Dar Es Salaam. Wafanyakazi wa Smile wakiwahudumia wateja waliofika katika banda lao kwaajili ya kupata maelezo juu ya kufungiwa router za smile ambazo zina spidi …
BancABC Waja na Huduma ya VISA Cash Card, Sabasaba
Afisa Mahusiano wa BancABC Sarah Pima akitoa maeleozo ya namna ya kutumia VISA Cash Card kwa mmoja wa wateja aliyetembelea banda la Bank hiyo lililopo karibu na Banda la Home Shopping Centre katika maonyesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Wa pili kulia ni Afisa Mahusiano wa Bank hiyo …
Ndani ya Banda la Bunge la Tanzania Sabasaba, TTCL na Simu za Shs 5,000 Kama Bure…!
TTCL na Simu za Shilingi 5,000…!