Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya SILAFRICA Bw Alpesh Patel ambao ni watengenezaji wa vifaa vya plastiki yakiwemo matanki ya kuhifadhia maji ya SIMTANK akisoma taarifa fupi mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya uzinduzi wa Tanki jipya la Kuhifadhia maji liitwalo SIMTANK la Bluu lenye Ubora wa hali ya juu wakati wa uzinduzi wa SIMTANK jipya uliofanyika katika …
Vinjari yaanzisha huduma ya kulipia tiketi za ndege mtandaoni.
Pamoja na kumuwezesha mtu anayesafiri ndani ya Tanzania kulipia huduma za malazi katika hoteli 142 zilizopo katika Mikoa mbalimbali nchini Tanzania kwa njia ya mtandao, Vinjari (www.vinjari.co.tz) imeanzisha huduma mpya ya kununua tiketi za ndege mtandaoni. Kwa kushirikiana na kampuni ya Coastal Aviation, sasa mtu yeyote anayetarajia kusafiri kwa njia ya ndege, anaweza kulipia tiketi yake kwenda katika Mikoa mbalimbali …
Tusker Lite Yadhamini Usiku wa Maofisa Masoko Dar es Salaam ‘Marketer’s Night’
Mada mbalimbali zilitolewa na wataalamu wa masuala ya masoko kuwaongezea ujuzi wadau wa masuala ya masoko kutoka makampuni na taasisi anuai. Juu ni baadhi ya watoa mada wakizungumza na wageni waalikwa. KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YADHAMINI USIKU WA WANATAALUMA WA MASOKO MAARUFU KAMA ‘MARKETER’S NIGHT’ KUPITIA BIA YAKE YA TUSKER LITE KWA mara nyingine tena kampuni ya bia ya …
Ongezeko la Kodi Kuathiri Ukuaji wa Sekta ya Usafirishaji
SEKTA ya Usafirishaji nchini inakabiliwa na changamoto kubwa na ipo katika tishio la kuanguka kutokana na kuongezwa kwa kodi mbali mbali zitokanazo na bajeti ya mwaka huu na hivyo kufanya wamililiki wa magari ya usafirishaji kupitia katika wakati mgumu sana kibiashara hasa kwa kuzingatia ushindani uliopo katika biashara hiyo Afrika mashariki. Kilio hicho cha wasifirishaji hao kiliwasilishwa jana mbele ya …
Kampuni ya Bia ya SBL Yazinduwa Muonekano Mpya wa Kibo Gold
*Sasa Kibo yang’ara katika chupa ya kisasa kabisa KAMPUNI ya bia ya Serengeti leo imezindua muonekano mpya wa bia inayosherehekewa sana mkoani hapa, Kibo Gold. Uzinduzi huu uliofanyika katika kiwanda cha bia cha Serengeti kilichopo Moshi, ulifikia kileleni kwa shughuli murua iliyoandaliwa na kampuni hii na kushuhudiwa na waandishi wa habari pamoja na wadau mbalimbali. Bia hii ya Kibo sasa …