SAMSUNG Electronics Co., Ltd. At the event in Berlin on Wednesday, September 4, 2013 introduced GALAXY Note 3 worldwide, the latest update to the Note product line set to be in shops starting from September 25 in more than 140 countries around the world, Tanzania in particular. The new Samsung GALAXY Note 3 adds pleasure to daily tasks and infuses …
TIB Yapeleka Maendeleo Kanda ya Nyanda za Juu Kusini
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo Tanzania (TIB), Prof. William Lyakurwa (kushoto), akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa ofisi za Makao Makuu ya TIB Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na Tawi la benki hiyo Mkoa wa Mbeya iliyofanyika jijini Mbeya. Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro na Mkurugenzi Mwezeshaji wa TIB, Peter …
Waziri Mkuu Ataka China Ijenge Viwanda Nchini Tanzania
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema uwiano wa kibiashara baina ya Tanzania na China hauko sawa kwa sababu Tanzania inauza nchini China bidhaa ambazo hazijasindikwa lakini inanunua kutoka huko bidhaa ambazo zimekamilika (finished products). Ametoa kauli hiyo Septemba 10, 2013 wakati akifungua maonyesho ya bidhaa zinazozalishwa na kampuni za Kichina kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee. Maonyesho hayo yanayotarajiwa kufungwa Ijumaa, …
Dar es Salaam Food Fair…!
The Tanzanian Chefs Association (TCA) would like to welcome you to the first ever Food Fair in Dar-es-Salaam on Saturday, September 7, 2013 from 11:00am to 3:00pm (music till 5pm) at the Botanical Gardens, Garden Avenue. Discover a world of food! With over 30 different flavors for your taste buds, live cooking demonstrations by the chefs; face painting for the …