Meneja Mkuu Uendeshaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Kolimba Tawa (kulia) akimsoma mmoja wa washindi wa shindano la Sherehekea Msimu wa Iddi na TPB Western Union leo jijini Dar es Salaam. Meneja Mkuu Uendeshaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Kolimba Tawa (wa pili kulia) akizungumza kwa njia ya simu na mmoja wa washindi wa shindano la …
First ADF Partial Risk Guarantee Approved in Kenya for Largest African Wind Power Project
THE Board of the African Development Bank (AfDB) approved the Lake Turkana Transmission Line Delay Partial Risk Guarantee for €20 million, the first of the African Development Fund’s Partial Risk Guarantees (ADF PRG). The ADF PRG is a risk mitigation instrument that covers private lenders and investors against therisk of a possible government failure to meet contractual obligations to a …
Opportunity Education Kutoa Laptop kwa Wanafunzi 2014
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lincoln TAASISI ya fursa ya Elimu (Opportunity Education) ya nchini Marekani imeazimia kuanzisha mradi wa laptop ndogo (tablets computer) kuanzia mwezi Januari mwaka 2014 nchini ambazo zitatumika kufundishia ili walimu waweze kufundisha haraka na kwa ufanisi zaidi na wanafunzi kupata fursa ya kujifunza zaidi. Kauli hiyo imetolewa na mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa taasisi hiyo, Joe …
Watanzania Kupata Taarifa Sahihi za Bidhaa na Huduma Bure
Na Mwandishi Wetu WATEJA walioko kote nchini sasa wana fursa ya kupata taarifa sahihi zinazohusu ubora wa huduma na bidhaa mbalimbali zilizo sokoni kwa njia rahisi ya mitandao ya kijamii pasipo na malipo yoyote. Huduma iliyozinduliwa jana baada ya utafiti wa muda mrefu imepewa jina la Sokoni Tanzania ambapo watumiaji wa mtandao wa Facebook wataipata kwa kupitia www.facebook.com/sokonitanzania na watumiaji …
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Atembelea Kiwanda cha Serengeti Breweries Ltd Dar
Meneja Ufungashaji wa SBL, Bw. Minja (aliyeshika bia) akitoa maelezo namna idara yake inavyofanya kazi kwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta alipotembelea kiwanda hicho.