Pambika na Samsung Yazinduliwa Kukamilisha Ndoto za Wateja wa Samsung Mwishoni mwa Mwaka

  Meneja Mauzo ya rejareja wa Samsung Tanzania Bw. Sylvester Manyara akionyesha bidhaa mbalimbali za Samsung zitakazoshindaniwa kwenye shindano la Pambika na Samsung katika uzinduzi wa promosheni hiyo iliyofanyika leo katika duka la Samsung Quality Center, Dar es Salaam.   Meneja Mkuu wa Samsung Tanzania, Bw. Kishor Kumar akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa promosheni kabambe …

Toyota Passo Inauzwa Bei Poa

Pichani Juu ni Gari inauzwa bei nzuri tu na Gari hii imeagizwa Kutoka Japan na sasa Ipo Dar Kwa atakayeipenda Tuwasiliane kupitia mawasiliano hapo chini. SPECIFICATIONS ZA GARI HIYO NI MAKER: TOYOTA MODEL: PASSO YoM:      2004 CC:       1000 Odo:   47,000 KM Color : SILVER IMELIPIWA KODI TAYARI  KWA MAWASILIANO  Josephat Lukaza – 0712 390 …

Hainan ya China Kufanya Safari za Ndege Moja kwa Moja Tanzania

KAMPUNI ya Ndege ya Hainan ya China imekubali kufanya safari za ndege za moja kwa moja kutoka China hadi Tanzania ili kukuza sekta ya biashara na utalii baina ya nchi hizo mbili.   Ahadi hiyo imetolewa Oktoba 24, 2013 na Mwenyekiti wa Shirika la Ndege la Hainan (Hainan Airlines), Bw. Chen Feng baada ya kuombwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda ambaye …

Watalii wa Kichina Elfu 10 Kuja Tanzania Kila Mwaka

CHINA imeahidi kuleta nchini Tanzania watalii 30,000 katika kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwakani. Ahadi hiyo imetolewa, Oktoba 20, 2013 na Mwenyekiti wa Wakala wa kutoa huduma za usafiri wa China na Hong Kong (China Travel Services – Hong Kong Limited – CTS) Bw. Zhang Xuewu alipofanya mazungumzo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jijini Shenzen, China.   Alisema kampuni yake …

TPB Yapeleka ‘Platinum Account’ kwa Wanafunzi Kibasila

Picha mbalimbali juu ni baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kibasila ya jijini Dar es Salaam wakiwa katika banda la Benki ya Posta Tanzania (TPB) wakifungua akaunti maalumu ya mwanafunzi ‘Platinum Account’ baada ya kupewa elimu shuleni hapo.   Baadhi ya maofisa wa TPB (kulia) wakitoa maelezo kwa wanafunzi na kuwafungulia akaunti wanafunzi walipowatembelea shuleni hapo kutoa elimu.   …

Benki ya Posta Tanzania Yatoa Mafunzo kwa Wajasiliamali Wadogo Wadogo Dar

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi akizungumza katika semina ya wajasiliamali wa Benki ya Posta Tanzania (TPB).   Mgeni rasmi wa hafla hiyo, Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara, Gregory Teu (kulia) akijaza fomu kufungua akaunti ya Huduma Popote inayotolewa na TPB mara baada ya kufungua semina hiyo na kutembelea Tawi la Benki ya Posta …