Meneja Masoko Rejareja wa Samsung Tanzania Bw. Sylvester Manyara (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mwenendo mzima wa promosheni ya Pambika na Samsung ikiwa ni wiki moja tu mara baada ya kuzindua promosheni hiyo. Kushoto ni Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Bw. Abdallah Hemedy na kulia ni Meneja Uhasibu wa Samsung Tanzania Bw. Mosenye Chacha. …
Gari Aina ya Toyota Passo Linauzwa
MAKER: TOYOTA MODEL: PASSO YoM: 2004 ODO: 56247 COLOR: MAROON HAIJATUMIKA BONGO……. PRICE: MIL 8 NEGOTIABLE MAWASILIANO 0713 344 399
Siku ya Viwanda Afrika
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko Maria Bilia akizungumza na waandishi wa habari kuhusu siku ya Viwanda Afrika ambapo alielezea mafanikio na changamoto katika sekta ya viwanda nchini na Afrika kwa ujumla. Kulia ni Afisa mipango wa Taifa kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) Bw. Gerald Runyoro. Ofisa Mipango wa Taifa kutoka …
Watanzania Wahimizwa Kutumia Mbinu Mpya za Kutambua Bidhaa Feki
BIDHAA feki zimekuwa moja kati ya tatizo kubwa linaloikumba soko la Tanzania tatizo linaloletwa na kile kinachoitwa soko huria, wateja wa bidhaa mbalimbali wamekuwa wakipata hasara kutokana na bidhaa kushindwa kufanya kazi kutokana na uwezo mdogo au bidhaa hiyo kuharibika mapema mara baada ya kununuliwa dukani na kumuacha manunuzi akilalamika bila ya msada wowote ama kwa kutojua nini cha kufanya …

Sherehe za Miaka 25 ya Kampuni ya Superdoll Tanzania
Waziri wa uchukuzi Harrison Mwakyembe akihutubia katika sherehe za miaka 25 ya ushirikiano kati ya kampuni ya Superdoll – Tanzania na Kampuni ya utengenezaji vifaa vya matrela ya Ujerumani (BPW). Walioketi kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya BPW Afrika Kusini Mr. Andre Cilliers, anefuatia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Superdoll Bw. Seif Ali Seif, kushoto kwa kwake ni Kaimu …