KATIKA kuhakikihsa inaendelea kuwazawadia wateja wa Samsung wanaonunua bidhaa halisi, promosheni ya Pambika na Samsung leo imefanya droo yake ya pili na kuendelea kuwapa furaha wateja wake 15 katika wiki ya pili ya promosheni hiyo. “Muitikio wa wateja katika promosheni hii ya Pambika na Samsung inayoendelea ni wenye kutia moyo sana na Samsung bado tutaendelea na juhudi zetu katika kuyafanya …
Emirates Flight Academy Will Help Address Middle East Pilot Demand
Dubai, U.A.E EMIRATES Flight Academy will help address the need for 40,000 pilots in the Middle East over the next two decades in support of a fast growing aviation sector. Representatives of the academy have been explaining the latest developments at Dubai Air Show, running from 17 to 21 November at Al Maktoum International, Dubai World Central in Jebel Ali. …
CRDB Yatoa Semina ya Ujasiliamali kwa Akinamama
Anthony Komanya, Shinyanga WAFANYABIASHARA wanawake wamekumbushwa kuitumia fursa ya uwepo wa Kitengo cha Kusaidia wafanyabiashara wadogo katika Benki ya CRDB kujisajiri kuwa Wateja na hatimaye kuweza kuchukua mikopo ili kukuza mitaji yao. Maneja wa Banki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Saidi Pamui alitoa changamoto hiyo wakati akiwakaribisha mamia mengi ya wanawake wajasiriamali wadogo na wa kati kushiriki semina ya …
Kampuni ya Samsung Wagawa Zawadi kwa Wateja Walioshinda
Mshindi wa droo ya kwanza ya Pambikana Samsung Bw. Ally Abdallah akipokea zawadi ya Microwave toka kwa Meneja wa Samsung kitengo cha Simu na Teknolojia ya Habari, Kishor Kumar katika hafla fupi ya makabidhiano ya zawadi kwa washindi wa wiki ya kwanza ya Pambika na Samsung iliyofanyika Quality center, jijini Dar es Salaam. Meneja wa Samsung kitengo cha Simu na …
A New Underwater Hotel Room Has Opened off the Coast of Tanzania
A new underwater hotel room has opened off the coast of Tanzania for intrepid, adventurous and ocean-loving travelers. Set off Pemba Island, also known as ‘the Green Island’ in Arabic, guests of The Manta Resort’s underwater room are dropped off at a self-contained hotel which literally drifts at sea. Guests can sunbathe on the top deck of their private island …
AfDB Board Approves US120 Million Financing for Nairobi’s Outer Ring Road
Nairobi, KENYA, THE Board of the African Development Bank on Wednesday November 13th approved US$120 million financing for the Nairobi Outer Ring road project which involves the improvement of the existing single carriageway road to a 2-lane dual carriageway complete with service roads, grade separated intersections, pedestrians–foot-over bridges, walkways and cycle tracks over the entire length of the road. The …