SHERIA za kulinda haki za mteja zinampa uwezo mtu yeyote haki ya kudai fidia juu ya bidhaa ambao haiendani na thamani ya kiasi alichotoa au bidhaa ambayo haina kiwango. Sheria hizi zimetungwa ili kuwakabili wauzaji wa bidhaa na watoa huduma kuwajibika katika biashara zao moja kwa moja pale wanapofanya biashara kinyume na sheria zilizopo. Katika harakati za kulinda wateja wake, …
Katibu CWT Aibuka Kidedea Kwenye Pambika na Samsung
KATIBU wa Chama cha Walimu wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Bw. Adagoti Komba Daudi ameibuka mmoja ya washindi 15 wenye bahati katika droo ya tatu ya promosheni kabambe ya Pambika na Samsung na kuzawadiwa deki mpya ya DVD kutoka Samsung. Komba alikuwa ni Mmoja ya washindi hao waliopatikana katika droo ya kila wiki ya Pambika na Samsung ambapo promosheni hiyo …
Wanaonunua Bidhaa Halisi Waendelea Kufaidika na Promosheni ya Pambika na Samsung
PROMOSHENI kubwa Samsung inayojulikana kama Pambika na Samsung imefikia wiki ya tatu baada ya kutangazwa washindi 15 wengine na kufanya idadi ya watu 45 kuwa washindi wa droo za kila wiki katika promosheni hiyo tangu kuanza kwake rasmi Novemba 7, 2013. Kama ilivyokuwa kwa droo zilizopita, washindi wa wiki hii pia watakabidhiwa zawadi zao toka Samsung katika hafla maalum ya …
Tanzania’s richest man, Rostam Azizi, sell off 17.2% of his stake in Vodacom Tanzania for $242 million
Tanzania’s richest man, Rostam Azizi, has agreed to sell off a significant chunk of his stake in mobile telecoms outfit Vodacom Tanzania to Vodacom Group Ltd, the African subsidiary of British telecoms giant Vodafone VOD -0.08% Group PLC, according to a statement from Vodacom. Azizi, 49, is the controlling shareholder of Cavalry Holdings, a Jersey island-registered private investment company through …
Pambika na Samsung Yamzawadia Mwanafunzi Jiko la Kupashia Chakula
IKIENDELEA na desturi yake ya kuwazawadia wateja wa Samsung ambapo wiki iliyopita sekretari mmoja alijishindia jokofu jipya lenye dhamana ya miaka 10 baada ya kununua simu yenye thamani ya 30,000/- wiki hii Pambika na Samsung imeendelea kuwaneemesha watanzania kwa kufanya droo yake ya pili na kuwazawadia wateja wake 15 zawadi mbalimbali baada ya kununua bidhaa halisi za Samsung na kuzisajili. …