Akemi Yatimiza Mwaka Kuvutia Utalii Dar es Salaam

MGAHAWA wa kisasa ambao unatajwa kuwa ni moja kati ya vivutio vya utalii jijini Dar es Salaam unaojulikana kama Akemi, umetimiza mwaka mmoja kwa kuleta mapinduzi makubwa katika sekta ya huduma za mgahawa hapa nchini huku ikijivunia mafanikio ya kuwa kituo cha utalii jijini Dar es Salaam. Akemi ni mgahawa unaopatikana ghorofa ya 21 sawa na futi zaidi ya 250 …

Pambika na Samsung Yajiandaa Kumzawadia Mteja Gari Jipya

PROMOSHENI ya wiki sita ya pambika na Samsung inayoendelea imetangaza majina ya washindi wa droo ya tano katika droo ya wiki hii iliyofanyika makao makuu ya Samsung na kushuhudia wateja 15 wakijishindia zawadi mbalimbali na kufanya jumla ya wateja 75 kuzawadiwa ndani ya wiki tano tangu kuanza rasmi kwa promosheni hii Septemba 7, 2013. Samsung itafunga pazia la mwisho la …

Samsung Note 3 na Gear Teknolojia Mpya Inayosaidia Kubuni Maisha ya Mtumiaji

MOJA ya kitu muhimu wazalishaji wanayoifurahia ni uaminifu wa bidhaa kutoka kwa wateja wao, kutokana na mabadiliko ya haraka na mzunguko mkubwa katika soko la simu za mkononi za kisasa. Wazalishaji wamekuwa na hamasa kubwa ya kuzalisha zaidi bidhaa kila siku lengo likiwa ni kutengeneza bidhaa ambazo zinaendana na maisha halisi na mabadiliko yanayoletwa na maendeleo ya Sayansi na teknolojia. …

Diagnostic Review for Increasing Consumer Awareness and Protection and Financial Services in Tanzania

THE World Bank today presented at a Bank of Tanzania Dissemination Workshop the findings of the Diagnostic Review for Increasing Consumer Awareness and Protection and Financial Services in Tanzania conducted in January 2013. The study is in line with the revised standard framework of Consumer Protection Financial Literacy (CPFL) published in 2012, based on in-depth country-level reviews of good practices …

Pambika na Samsung Yamzawadia Mkazi Dar Mashine ya Kufulia

KATIKA kuhakikisha inaendelea kutimiza ahadi zake za kuwazawadia wateja wake, kampuni ya Samsung Tanzania imefanya hafla fupi ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa droo ya nne katika promosheni inayoendelea ijulikanayo kama Pambika na Samsung yenye lengo la kupambana na bidhaa feki kwa kuwazawadia wateja wanaonunua bidhaa halisi. Mshindi wa kwanza wa droo ya nne ya Pambika na Samsung, Bw. Hasmin …