Kampuni ya China Word Buz Kuwakomboa Wafanyabiashara Wadogo Tanzania

Meneja Mkuu  wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akizungumza na waandishi wa habari kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K. Nyerere mara baada ya kwasili akitokea nchini China na ujumbe wa wafanya biashara wenzake, kushoto ni Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya  China Word Buz nchini China Bwana Cheng Wang Wu na kulia ni Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo …

Toyota Passo Inauzwa Bei Nzuri…!

 Toyota Passo 2004 Model Nauza.  Sifa Zake CC 996 Color: White  Rim Sports  Low Mileage Navigator, DVD, Player, CD AC, Power Windows Good Condition Jack, Spea Tyre. Wheel Spanner. Ishalipiwa Kila Kitu Na Imetoka Jana Bandarini…Ipo Tabata Segerea Kwa Serious Buyer Wasiliana na Mimi au Call 0713 344 399 AU 0712 390 200 Spea tairi, Jeki na Wheel Spana

Samsung Tanzania Yapata Ongezeko la Wateja Kusajili Bidhaa kwa Zaidi ya 30%

KAMPUNI ya Samsung Tanzania imeelezea ongezeko la wateja kujisajili katika mfumo wa dhamana ya ziada kwa zaidi ya asilimia 30 ikiwa ni ongezeko kubwa kwa kampuni hiyo mara baada ya kuzinduliwa kwa promosheni ya Pambika na Samsung iliyoanza mwanzoni mwa mwezi Novemba na kumalizika wiki iliyopita iliyokuwa na lengo la kuhamasisha wateja kununua na kusajili bidhaa halisi za Samsung nchini …

Samsung Yamkabadhi Rasmi Gari Mshindi wa Promosheni ya Pambika na Samsung

MSHINDI wa droo kubwa ya promosheni ya Pambika na Samsung Bw. Juma Musa Ramadhan (46) amekabidhiwa rasmi zawadi yake ya gari aina ya Mitsubishi Double Cabin toka kwa Meneja Mauzo na Usambazaji wa Samsung Tanzania wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya gari hilo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Hatua hiyo imekuja mara baada ya droo kubwa ya Pambika na …

Pambika na Samsung Yatangaza Mshindi Mitsubishi Double Cabin

Wafanyakazi wa Samsung wakihakiki nyaraka mbalimbali za mshindi wa gari kabla ya kumkabidhi zawadi zake. PROMOSHENI ya msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka ya Pambika na Samsung imefikia tamati Jumatatu baada ya kumshuhudia mshindi wa droo kubwa ya mwisho Bw. Juma Musa Ramadhan (46) ambae ni mfanyabiashara akiibuka mshindi wa jumla wa zawadi kubwa ya gari. Bw. Juma Sasa …

Wanafunzi Waongoza Kunyakua Zawadi za Pambika na Samsung Droo ya Tano

Wanafunzi Waongoza Kunyakua Zawadi za Pambika na Samsung Droo ya Tano JUMLA ya wanafunzi watano toka mikoa ya Mwanza, Dodoma, Kilimanjaro, Dar es Salaam na Morogoro wameibuka washindi kati ya washindi 15 wa droo ya tano ya promosheni ya Pambika na Samsung na kuzawadiwa zawadi mbalimbali kutoka Samsung. Kutoka Mwanza Adam Kennedy (18) mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Alpha …