Kampuni ya Bia ya Serengeti Kuwapeleka Watanzania Brazil Kutalii

*Zaidi ya milioni 700 Kushindaniwa Kupitia Bia ya Serengeti KATIKA mpango mwingine wa kutambua thamani ya wateja, Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) leo imezindua kampeni ya kufaidisha wateja ambapo baadhi ya wateja watashinda safari iliyolipiwa kwenda nchini Brazil, hii ikiwa ni moja kati ya zawadi nyingi nyingine zitakazoshindaniwa. Kampeni hii imeanza tayari na itaendelea kwa muda wa kipindi cha …

Mayor Jerry Silaa Kuzinduwa Kampuni ya Gracing Africa

MWANAMITINDO anayefanya vizuri nchini Tanzania, Danny David atazindua kampuni yake mpya ya Gracing Africa inayojihusisha na ukuzaji na uendelezaji wa vipaji nchini hasa vya mitindo na fashion ijumaa hii katika hoteli ya Serena ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa meya wa jiji la Dar es Salaam mheshimiwa Jerry Slaa. Uzinduzi huo wa aina yake utakuwa wa mwaliko pekee ni watu wachache watakaochaguliwa kuhudhuria …

Kampuni ya LG Yazinduwa Televisheni Aina ya OLED

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam LG imezindua TV ya kwanza ulimwenguni aina ya OLED ambayo ndiyo imeingia katika soko ya nchini Tanzania, TV aina ya OLED inayojikunja ni mwanzo wa burudani ndani ya nyumba. Aina yake ya kujikunja ambayo inaitwa IMAX inatupa uzoefu wa hali ya juu pamoja na kuangalia kwa starehe kubwa. TV hii mpya aina ya OLED …

Tanzania: World Bank Supports Land Ownership Reform and Better Access to Financial Services

TODAY the Government of United Republic of Tanzania and the World Bank signed the Financial Agreement for additional financing to the Private Sector Competitiveness Project (PSCP) for a total amount of US$60.2 million. The Private Sector Competitiveness Project (PSCP) supports the implementation of Tanzania’s program to develop the private sector by lowering the cost of doing business. Today’s funds support …

Special Fare Offer From Emirates…!

*The offers applies to round-trip travel to select destinations out of Dar es Salaam EMIRATES, a global connector of people and places, is offering Tanzanian travellers the opportunity to visit some of the world’s most exciting destinations with special Economy Class fares for a limited time period. These special fares are available for booking between 15 and 25 January 2014, …