Mwenyekiti wa Tancraft, Elihaika Mrema akizungumza na waandishi wa habari umuhimu wa jumuiya kubwa za wafanyabiashara na pamoja na serikali kuwaunga mkono wajasirimali wanawake nchini, Kushoto ni Esther Kasenga Msaidizi wa Katibu, Kulia Mweka hazina wa Chama cha Tancraft, Bi. Louise Judicate na Wapili kulia ni Katibu wa Tancraft, Bi. Vicky Shayo. WAMILIKI wa maeneo ya biashara nchini wameombwa kutoa nafasi …
Wakuu wa Mercedes Benz Watembelea Kampuni ya CFAO Tanzania
Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika pia walipata fursa ya kuangali akarakana ya kampuni hiyo kwenye maeneo ya Vingunguti na kuona shughuli za ufundi kwa magari yao ambapo wateja ambao wanaharibikiwa na magari wanaweza kupata huduma hiyo kwenye karakana ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Biashara wa CFAO Motors, Charles-Edouard CAMBOURNAC …
TRA Yapigilia Msumari Mgomo wa Wafanyabiashara Juu ya EFDs
Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema matumizi ya mashine maalumu za kukokotoa kodi (EFDs) ni ya lazima na yapo kwa mujibu wa sheria za nchi hivyo kila wafanyabiashara anayehusika anapaswa kutumia kama ilivyoelekeza. Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Kamishna Mkuu wa TRA kwa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya mgomo wa baadhi ya wafanyabiashara maeneo mbalimbali …
Benki ya Rasilimali Tanzania Yaingia Mkataba na Benki ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika
Mkurugenzi wa Mipango Mikakati wa Benki ya Rasilimali nchini (TIB Development Bank), Jaffar Machano akifungua mkutano huo wa hafla ya utiaji saini mkataba wa makubaliano. ******** Na Mwandishi Wetu, BENKI ya Rasilimali nchini (TIB Development Bank) na Benki ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (Development Bank of Southern Africa, DBSA) zimeingia mkataba wa makubaliano ya kiuwekezaji katika sekta ya uchukuzi nchini jana jioni. Makubaliano hayo yatasaidia …
Meet The Tech Entrepreneur Bringing The Digital Revolution To Africa
Thanks to Juliana Rotich, a Kenyan native and tech entrepreneur, the digital revolution is making headway in Africa. (Photo provided by Juliana Rotich) By Natalie Burg As Juliana Rotich explained in a June 2013 TED video, in some ways, the digital revolution has rippled through the world much like the scientific and industrial revolutions before it: inequitably. “These revolutions have …
Rays of Light Exhibition Imprints its Foot on the Land of the Kilimanjaro
AFTER visiting France, Portugal, United States, United Kingdom, UAE, Uganda, and Canada, the Rays of Light: Glimpses into the IsmailiImamat, finally makes its hallmark debut on Tanzanian soil. The much-anticipated Exhibition marks a significant milestone for Tanzania as it coincides with the upcoming 50th Anniversary of the Union of Tanganika and Zanzibar. Opened officially today at the Diamond Jubilee Hall …