RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kuwa Mashine za Electroniki za Ukusanyaji Kodi –EFD ni lazima ziendelee kutumika nchini na ameagiza viongozi wa Mamlaka ya Kodi Tanzania (TRA) kukaa chini na wadau na watumiaji wa mashine hizo kuzungumza na kutafuta majawabu yanayolalamikiwa na wadau. Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa anajua kuwa yapo maneno mengi kuhusiana na …
Mradi wa SECO Wazinduliwa Mkoani Arusha
MRADI wa kuunganisha sekta za Wazalishaji matunda, mbogamboga na wenye hoteli (SECO)unaofadhiliwa na Serikali ya Switzerland umezinduliwa Jijini Arusha. Mradi huo ambao lengo lake kuu ni kuboresha maisha ya Watanzania wanaojihusisha na sekta hizo kwa kuongeza uzalishaji wao na uhakika wa masoko ya ndani na nje yanchi, unaanza utekelezaji wake mara moja ukiwa na thamani ya jumla ya Dola za …
Tengenezeni Bidhaa Ambazo Soko Lake Linapatikana Kirahisi -Mama Salma Kikwete
Na Anna Nkinda – Maelezo Wanawake wajasiriamali nchini wametakiwa kutengeneza bidhaa ambazo zinahitajika kwa wingi na watumiaji na kuacha kung’ang’ania kutengeneza bidhaa ambazo soko lake ni dogo. Mwito huo umetolewa leo na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete wakati wa uzinduzi wa umoja wa vikundi vya kuweka na kukopa Mbagala (UWAMBA) vilivyo chini ya WAMA …
Kampuni za MeTL Group Zazoa Tuzo za CTI, Zinazotolewa na Rais
Na Mwandishi Wetu KAMPUNI tatu kubwa zilizopo chini ya MeTL Group hivi karibuni zimefanikiwa kutwaa tuzo za Rais za Watengenezaji Bidhaa kwa mwaka 2013, zinazosimamiwa na Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI). Makampuni hayo ni: East Coast Oils & Fats Ltd ya Kurasini ambayo hutengeneza sabuni na mafuta ya kupikia pamoja na bidhaa nyingine. Afritex Limited ambayo hutengeneza Khanga, Vitenge na …
WB Supports Tanzania’s Efforts to Strengthen the Business Climate and Make the Power Sector Financially Sustainable
THE World Bank’s Board of Executive Directors has approved two operations from the International Development Association (IDA*) to help Tanzania strengthen its capacity to manage public expenditures, its business environment, and the financial sustainability of the power sector. Both operations aim to accelerate inclusive economic growth and pave the way for shared prosperity and reduced poverty. The IDA credit of …
Mradi wa Tier Kuimarisha Mazingira ya Biashara Tanzania
Na Mwandishi Wetu MAZINGIRA ya biashara nchini Tanzania yataendelea kuimarika na kuinufaisha nchi na wananchi kwa ujumla iwapo mradi wa Tier 1 utatekelezwa kikamilifu kwa wakati na kuzingatia malengo yanayokusudiwa. Mradi wa TIER 1 ni mradi unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP wenye lengo la la kujenga uwezo wa kuchambua, kushirikisha kuongeza ufanisi wa watendaji wa …