AFRICA has achieved exceptional economic growth over the past decade, averaging 4.5 percent a year and underpinned by prudent macroeconomic management. Now we must achieve economic growth that is accompanied by significantly less poverty and greater prosperity for all the people of the continent. With new discoveries of oil, gas, and minerals seemingly every month, we need to be able …
PUMA Energy Tanzania Yazinduwa Vilainishi vya Castrol
Wageni na wafanyakazi wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania wakifuatilia uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Masaki jijini Dar es Salaam. Muonekano wa Kituo Kipya cha Mafuta kilichopo Masaki jijini Dar es Salaam. Gari litakalotumiwa katika mashindano ya Magari yanayotarajia kufanyika Mwishoni mwa wiki. Wateja wakipatiwa huduma na wafanyakazi wa kampuni ya …
Kongamano la Uwezeshaji Biashara kwa Nchi Changa za Afrika Lafunguliwa
SERIKALI imerudia wito wake kwa sekta binafsi na Wadau wa Maendeleo kuunganisha nguvu zao katika kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara nchini na kutumia vyema fursa za kitaifa na kimataifa ili kuinufaisha nchi na wananchi kwa ujumla. Wito huo umetolewa na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Abdallah Kigoda katika hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Mkuu wa Mkoa wa …
Samsung Yazindua Bidhaa Mpya kwa Matumizi ya Nyumbani
KATIKA muendelezo wa kuboresha na kuyapa nguvu maisha ya wateja wake, Kampuni ya vifaa vya umeme Samsung Tanzania ilitangaza kuzindua bidhaa zake mbili mpya Kiyoyozi na jokovu. Magwiji hao wa vifaa vya umeme walianza kwa kuzindua Kiyoyozi kipya chenye muundo wa pembe tatu na muundo wa ubunifu kabisa wenye kusambaza hewa zaidi ambayo inasababisha kutoa baridi zaidi kwenye mazingira ya …
Mfumuko wa Bei Nchini Tanzania Wazidi Kuongezeka
Na Aron Msigwa – MAELEZO OFISI ya Taifa ya Takwimu imeeleza kuwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Aprili umeongezeka ikilinganishwa na mwezi uliopita kutokana na kupanda kwa bei za bidhaa na huduma mbalimbali. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na sensa ya Watu na Makazi, Ephraim Kwesigabo amesema kuwa mfumuko wa …