Samsung; Built For Africa

THE steady growth of the Tanzanian economy has seen an influx of foreign owned companies venturing into the country with the aim of unleashing their products or services to the Tanzanian masses. Success of these products and services depend on various factors, ranging from environment to perceived demand that stipulate just how relevant they are to the market. One firm …

Magari Yanayojiendesha Sasa Yaja

MAGARI yanayojiendesha bila ya dereva kushika usukani yataanza kusambazwa duniani kabla ya muda uliotarajiwa. Hiyo inatokana na makubaliano yaliyofikiwa na kuondolewa kwa kipengele cha sheria za usalama barabarani ambacho kilikuwa kinazuia gari kujiendesha bila ya kuongozwa na binadamu. Kipengele hicho katika makubaliano ya Umoja wa Mataifa, kilisababisha utafiti uliofanywa kwa muda mrefu wa kutengeneza magari ya aina hiyo kukwama, lakini …

Mercedes Benz Yaanzisha Huduma Mpya kwa Magari Makubwa

Msimamizi wa ufundi wa Magari aina ya Mercedes Benz  kutoka kampuni ya CFAO Motors Bw. Winner Mushi (wa tatu kushoto) akionyesha matumizi ya kifaa maalum cha ukaguzi wa Malori ya Mercedes Benz (Star Diagnosis Machine) kwa baadhi ya mafundi na wasimamizi wa ufundi wa magari ya kampuni ya Bakhresa Group. Bakhresa Group ni mmoja wapo wa wateja wa CFAO Motors ambao …

Baraza la Biashara EAC Kuhamishia Makao Kigali

Na Mtuwa Salira, EANA BARAZA la Biashara la Afrika Mashariki (EABC) litahamishia makao makuu yake mjini Kigali nchini Rwanda kutoka Arusha, Tanzania. Makao makuu ya sasa ya EABC ipo katika jengo binafsi la ghorofa moja eneo la Kijenge katika jiji la Arusha. Kamati ya Utendaji ya EABC iliyoketi katika kikao chake maalum mjini Kigali Mei 30, mwaka huu kilipitisha azimio …